Usikate tamaa bado hujakutana nae

Usikate tamaa bado hujakutana nae

Ama kwa hakika naisubiri hiyo siku kwa hamu. Amen!
 
asante kwa kututia moyo na kuwatia moyo wale wanaousubiri
kwani ni kitambo tu mambo yatajipa ni kuwa wavumilivu tu
 
wahenga walisema kuwa haraka haraka haina baraka

na pia ngoja ngoja yaumiza matumbo SASA ITAKUWAJE? au mvumilivu hula mbivu?
 
jamani mbona umefika mbali huko bestito
mm sijui kitu hapo?
kwani shetani anapora wenzi wa maisha?
kabisa shetani anaiba bestito....hivi utapenda uchumbiwe leo ndoa kesho?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom