rosita
JF-Expert Member
- Oct 18, 2013
- 510
- 471
Nilishawah kuwa kwenye situation kama yako miaka kadhaa iliyopita......mpaka leo naamini Mungu ni mwema.....nilichofanya ni kusali na nilisali novena ya kuomba Mungu anitenganishe na huyo mtu.....baada ya miezi miwili nilitengana nae.....na wala sikuumia na nilisonga mbele....kwa hyo bidada omba dua Mungu akutenganishe nae mana kwa utashi wako pekee hauwezi....bali wahitaji neema ya Mungu....
Asante sister nimekuelewa....nimeanza kufanya hayo....japo kwa sasa ni ngumu coz nina ujauzito wake nipo last trimister na situation inazidi kuwa worse....but nimepiga moyo konde na nimeamua kutokuwa nae.....na kikubwa nasali sana na Mungu naona ananipa faraja and nimeamua kuwa busy na vitu.vingine kama my other friends,kazi,movie etc.....i wish yatafika mwisho.
Thanx kwa ushauri