Usijisikie mnyonge kwa ku-skip meals

Usijisikie mnyonge kwa ku-skip meals

Ni bora ku skip kuliko kula milo mi3 kila siku.

Mimi ninaishi katika formula inayosema kula ni kitendo cha kuupongeza mwili baada ya kufanikisha jambo/kitu fulani(jaribu hii itakusaidia sana katika nyanja zote)

Hivyo basi kwa kuwa mimi ni mfanyabiashara, huwa sili mpaka niuze, nikishauza nitaagiza chakula kizuuuuri kama kuupongeza mwili.

Nilipoanza ilikua changamoto, lakini kwa sasa, mwili na surroundings ni kama zimeshawasiliana na kukubaliana kitu.

Natoka home bila kugusa chai ila nikifika job, hata kabla ya saa nne nakua nimeshabutua kombe la kombolela(mauzo) naagiza chai nzito kwa pesa niliyouza, japo naweza kuwa na pesa ya ziada mfukoni huwa siitumii mpaka niuze.

Ni mara chache sana huwa naikosa chai, ila mara nyingi nafuata sheria na chai, lunch ni lazima nibutue.

Lakini wengi wetu tukiamka asubuhi tunataka kuanza na chai, ambayo hatujaifanyia kazi yoyote(unaupongeza mwili 4nothing)

Jaribuni formula yangu muone matokeo tofauti.
 
Unatumia formula za matajir,kwamba wanajipongeza mara baada ya investment fulani kufanikiwa,haya niliyasikia kwa Kiyosaki mwandishi na mfanyabiashara na mentor

Alijinunulia gar ya kifahari baada ya biashara yake ya real estate kufanikiwa sana

Nimeipenda idear yako,tulio ajiriwa sijui kama itatufaa
 
Hakikisha umefika ofisini umefanya kazi fulani mpaka umeimaliza ndio unajipongeza
 
Inategemea mhusika anafanya ishu gani.
Huu ushauri hauwezi kumsaidia mbeba zege na nondo kwenye sites za ujenzi maana hizo kazi zinahitaji nguvu za kutosha na nguvu zenyewe zinatokana na chakula ujue.

Mimi binafsi sioni ulazima wa kuskip mlo kbsa eti kisa kubana matumizi.
Ni Bora upunguze bajeti ya Kula kuliko kuacha Kula kbsa.
 
View attachment 3539431

My people,​

Hii ni kwa watafutaji na wahangaikaji wote popote mlipo,endeleeni kupambana.

Kwa watu ambao wana vipato vizur hawawezi kujua kwamba kuna watu ambao inabidi mida ya lunch time wakaushe kimya bila kula,sio kwamba hawapendi ila ni kwasababu hisabati hairuhusu kupata mlo wa mchana.

Unakuta mtu akifanya hisabati zake za kula home,Bill mbali mbali bila kusahau nauli ya kwendea mzigoni,anajikuta bajeti iko tight kinoma,tukio lolote la kucheza na bajeti hiyo,inahatarisha ratiba nyengine za maisha

Watafutaji wote msikate tamaa wala msijisikie vibaya,hizo ni stage za maisha tu,wengi sana wameyapitia hayo akiwemo the bey himself,kwahiyo hakuna kujisikia unyonge keep head up,yatapita tu,siku zote tambua maisha ni mchakato kwahiyo nawe upo kwenye mchakato,ipo siku itakuwa historia kwako.

Endelea kupambana,hata huko mambele kuna watu wanaskip meals kama kawaida na wanasongesha maisha kama kawa,wewe sio wa kwanza kuna mamia ya watu wapo hivyo pia.

Kataa unyonge na endelea kupambana one day itakuwa historia,itabaki kuwa sehemu ya mapito ambayo uliwahi kupitia katika maisha yako

Ni hayo tu!
Mada nzuri kabisa hii
 
Back
Top Bottom