Usijisikie mnyonge kwa ku-skip meals

Usijisikie mnyonge kwa ku-skip meals

Kula inatakiwa ule pale unapohisi njaa,
haijalishi unafanya kazi gani au ni muda gani,

Sijui ni binadamu gani aliweka huu utaratibu wa Breakfast,Lunch na Dinner,
Unatakiwa ule pale unapohisi njaa.
Utaratibu wa kula asubuhi na usiku una maana kwa sababu unasaidia kuwakutanisha watu pamoja kama familia, kundi au jamii fulani.
 
Kula pale unapohisi njaa kiafya sio nzuri kabisa
Sio kweli,kula unapohisi njaa ndio inatakiwa kiafya ili uregulate appetite,u support metabolism na kuuhakikishia mwili kupata necessary energy,kufuata schedules ni mazowea tu watu wamejiwekea,

Unakuta mtu anahisi njaa ila anasubiri ufike muda fulani ndio ale!
 
Sasa wewe hapa unaongelea gathering,mimi naongelea healthy,

Hoja yako ipo nje ya mada kabisa.
Ukiwa katika familia au Ofisini inakubidi uyachukue na uende na mambo yote mawili kwa pamoja. Hakuna maisha ya kifamilia au ya ofisini yatakayowezekana kwenda vizuri kama kila mtu atakuwa anakula kwa wakati wake anaojisikia yeye.
 
Hizo ratiba nyingine za maisha zina umuhimu gani sana kuliko wewe kula? hivi kuna kitu muhimu kingine kwa kiumbe kilicho hai zaidi ya kula?

Kula inatakiwa iwe top priority yako ili upate nguvu na akili yakufuatilia hayo mambo mengine,kuskip kula sio ujanja kisa unabana hela ufanye mambo mengine,hayo mambo mengine hayawezi kuna na umuhimu zaidi ya uhai wako.
Kabisa kula kwanza ,kama hesabu zinabana hadi kula , nikuachana na hizo hesabu tu , na kufanya maarifa ya jamiii ili mtu ale kwanza.
 
Ukiwa katika familia au Ofisini inakubidi uyachukue na uende na mambo yote mawili kwa pamoja. Hakuna maisha ya kifamilia au ya ofisini yatakayowezekana kwenda vizuri kama kila mtu atakuwa anakula kwa wakati wake anaojisikia yeye.
Wewe point yako imelenga kwenye ''Utaratibu wa kijamii'' Mimi point yangu imelenga kwenye ''Afya ya mwili''

Ndio maana nakwambia hiyo point yako ni mada tofauti kabisa na ninachokiongelea mimi.
 
Kula inatakiwa ule pale unapohisi njaa,
haijalishi unafanya kazi gani au ni muda gani,

Sijui ni binadamu gani aliweka huu utaratibu wa Breakfast,Lunch na Dinner,
Unatakiwa ule pale unapohisi njaa.
Upo sahihi kabisa,ndio maana doktori Janabi huwa anahoji,hii ishu ya kunywa chai asubuhi ni mazoea tu,kwasababu hakuna hakuna anayeamka asubuhi na njaa,na kama hutokea basi ni mara chache sana
 
Pendekezo: Beba chakula kutoka home.
😄

Umenikumbusha kitambo sana enzi nasoma kijijini.

Ilikua ni sheria, kila mwanafunzi abebe chakula kutoka home.

Shule ilikua ukitoka kijijini kwetu, unapita kijiji kimoja ndio unaenda kijiji cha tatu ilipo shule, ilikua mbali sio poa.

Daaah!!! Leo hii eti na mimi naishi kinondoni (new York ya Tanzania) Mungu ni mwema.
 
Back
Top Bottom