Kuna watu wanaishi na 18°C usiku kucha Ila blanket lipo😄Sasa mkuu normal temperature( environmental temp) Kwa Dar nikuanzia 27/32 Centigrade, then wewe uweke 30 kweli?. Siheri uwashe tu feni?. Atleast uweke 23°C utakua comfortable, ukiweka pia chini ya 20°C utakua na matatizo.
Fanya utafiti mwenyewe. Angalia mashine ya luku kuona una units ngapi, kisha zirekodi. Tumia hiyo blender kusaga matunda au pressure cooker kupika. Ukimaliza angalia tena units zimebaki ngapi. Utapata majibu.Wakuu hvi na pressure cooker na Blender zile heavy duty vp ulani wake wa umeme ,ni mdogo ,wakawaida au mkubwa?
Hili nimeliona kwangu. Wakati wa hali ya hewa ya kawaida bila kuwasha feni huwa tunatumia units 3-4 kwa saa 24. Ila kwa sasa ni units 4 ndni ya saa 12. Usiku hadi asbh pangaboi mbili zinawaka. Mchana pia hasa sabuleni. Pangaboi ni za Africab, 75watts.
Kufunga Ac Yenye btu 18,000 mbona Ni kubwa mno kwa chumba kimoja mkuu?[emoji848]
Aaha 18000watts sio mchezooo akirun 24 hours ni Unit 36 zinakataaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] labda kama kuja muda inajizima.Sanaaa chumba cha kulala ni 9,000 inatosha. Kama kikubwa sana basi 12,000
Hizo ni BTU braza siyo watts.Aaha 18000watts sio mchezooo akirun 24 hours ni Unit 36 zinakataaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] labda kama kuja muda inajizima.
BTU18000 nimechek watts zake ni 1526W... si mchezooHizo ni BTU braza siyo watts.
Jf noma sanaa🤣🤣🤣🤣Sasa unaweka ac ya nini wakati fridge unayo? Washa fridge acha mlango wazi ule upepo.
Blender na pressure cooker hazili sana umemeWakuu hvi na pressure cooker na Blender zile heavy duty vp ulani wake wa umeme ,ni mdogo ,wakawaida au mkubwa?
Kwa hiyo unatushauri titafute ela chief...Usipokuwa na hela hata tv utaona inamaliza umeme!
Hata hivyo kuna shida tanesco watu wengi wanalalamika kuhusu ulaji WA umeme pia Jana wenyewe tanesco wametoa ufafanuzi juu ya tuhuma hiziHiyo AC ni mpya mkuu au
Umetisha sana mkuu. Hizo 0.5 zilizobaki huenda zilitumiwa na taa za nje na friji kwa sababu luku niliweka saa 3 usiku. Ilipofika saa 3 asubuhi kesho yake nikakuta units zimeshuka toka 113 hadi 109.Ni sawa kabisa
Chukua feni tuu hizo zinazowaka masaa 24 yani 12 mchana na 12 usiku
Maana yake
75 watts X 2 units = 150Watts
150 watts x 24 hrs = 3,600 watts hour
3600 wh gawa kwa 1000
= 3.6 Kwh/ 3.5 units
Hizo ni feni mbili tuu za 24 hrs
Umeme na data zinakimbikia kuliko maelezo na hakuna watu wa kuwasimami au kujua wanachopewa walaji kama kipo sawa...Hata hivyo kuna shida tanesco watu wengi wanalalamika kuhusu ulaji WA umeme pia Jana wenyewe tanesco wametoa ufafanuzi juu ya tuhuma hizi
Nunua hata gazeti mkuu uwe unajipepea 😁Mnazungumzia Ac nyie mnahela aisee.
Wengine tunajipepea kwa mikono tu.
Duh!! JF bhana. Una hela af uelewa huna? Kuna tatizo. Umeweza kujenga nyumba,ya kuwekewa AC, ukajua AC ni nini,af dahhhhh. Au unatamani tu!Mkuu nipe somo kidogo kuhusu hizo split type maana nahitaji moja tu ya room. Wengine hatuna uwelewa wa juu kuhusu AC. Thanks in advance