Usijiloge ukafunga Ac kama huna hela utaiuza

Sasa unaweka ac ya nini wakati fridge unayo? Washa fridge acha mlango wazi ule upepo.
Daaaaah we jamaa bhana
Anyways, operation ya fridge ina violate the second law of thermodynamics: iko hivi, always heat inaflow from hot body/ area to cold body/ area and never the reverse: yani mfano unapokua unapasha kitu moto lazima upande ambao uko contact na moto utaanza kupata joto then joto hilo litaflow kuelekea maeneo ambayo hayana joto ama kwenye ubaridi, hiyo ndo principle na formula ya msingi ambayo inaapply hata kwenye maisha ya kila siku
Sasa fridge ina operate kwenye reverse direction yani heat inaflow from cold to hot body, hivyo ukifungua mlango wa fridge yako chumba chako kitapata joto zaidi ya ubaridi kwasababu heat itaanza kuflow kutoka kwenye fridge ambako kuna ubaridi yani cold body/ area kuja kwenye room yako ama sehemu ulipokaa ambako ni kwa muda huo tutapahesabu kama hot body/ area. Labda swali hapo ni kwanini inakua ivyo?! Compressor ya fridge inapokua inafanya kazi inazalisha joto jingi ambalo linatakiwa kua compressed into air kuleta ubaridi kwenye fridge yako. So ukifungua mlango wa fridge hiyo air haitokua converted/ compressed into cold air badala yake itatoka direct kwenye mfumo ule ule wa joto kama ambavyo imezalishwa na compressor ya fridge yako
Hata hivyo pamoja na yote hayo, hata kama mlango wa fridge yako ukiwa hauko wazi bado kuna kiasi cha joto kinachozalishwa na compressor kitaendelea kupotea nje kwasababu sio heat yote inayozalishwa compressor itakua converted into cold air kwenye fridge work must be done kuhakikisha hilo linafanikiwa matokeo yake ndo hayo kwamba efficiency of any heat engine (Carnot engine) is less than 100% and even far less than 50%. So hicho kiasi ambacho sisi tunakiona kidogo cha joto kinachopotea ndo kinazalisha joto nyuma ya fridge lako na hiyo heat ni sensible unaweza kuifeel kabsa kua inabadilisha halijoto room kwako hasa kama uko kwenye enclosed space kama kwenye karoom kadogo
Anyways nimetumia concept ndogo tu ya Physics kwenye applications of second law of thermodynamics (operation of heat/ carnot engines). Watu wa Mechanical Engineering ndo wataalamu wa haya mambo wanaweza kuja hapa kuongeza kitu ama kusahihisha pale ambapo sikua sawa kwenye maelezo yangu. Lakini pia mambo ya operation za AC, refrigerator na car engines ni ya kwao wanaweza kuja hapa kutoa ufafanuzi kuhusu mada ya huyu mdau kuhusu matumizi ya umeme kwenye AC
 
Chumba kuwa na matobo hakuongezi units za umeme, Bali zinapunguza uharaka wa kupoza eneo!
Una uhakika? Kama kina matobo huoni AC itakuwa inafanya kazi kwa nguvu muda wote lakini kama hakina matobo kuna wakati itakuwa inapumzika pale joto la chumbani linapofikia temperature uliyoseti?
 
Daaaaah we jamaa bhana
Anyways, operation ya fridge ina violate the second law of thermodynamics: iko hivi, always heat inaflow from hot body/ area to cold body/ area and never the reverse: yani mfano unapokua unapasha kitu moto lazima upande ambao uko contact na moto utaanza kupata joto then joto hilo litaflow kuelekea maeneo ambayo hayana joto ama kwenye ubaridi, hiyo ndo principle na formula ya msingi ambayo inaapply hata kwenye maisha ya kila siku
Sasa fridge ina operate kwenye reverse direction yani heat inaflow from cold to hot body, hivyo ukifungua mlango wa fridge yako chumba chako kitapata joto zaidi ya ubaridi kwasababu heat itaanza kuflow kutoka kwenye fridge ambako kuna ubaridi yani cold body/ area kuja kwenye room yako ama sehemu ulipokaa ambako ni kwa muda huo tutapahesabu kama hot body/ area. Labda swali hapo ni kwanini inakua ivyo?! Compressor ya fridge inapokua inafanya kazi inazalisha joto jingi ambalo linatakiwa kua compressed into air kuleta ubaridi kwenye fridge yako. So ukifungua mlango wa fridge hiyo air haitokua converted/ compressed into cold air badala yake itatoka direct kwenye mfumo ule ule wa joto kama ambavyo imezalishwa na compressor ya fridge yako
Hata hivyo pamoja na yote hayo, hata kama mlango wa fridge yako ukiwa hauko wazi bado kuna kiasi cha joto kinachozalishwa na compressor kitaendelea kupotea nje kwasababu sio heat yote inayozalishwa compressor itakua converted into cold air kwenye fridge work must be done kuhakikisha hilo linafanikiwa matokeo yake ndo hayo kwamba efficiency of any heat engine (Carnot engine) is less than 100% and even far less than 50%. So hicho kiasi ambacho sisi tunakiona kidogo cha joto kinachopotea ndo kinazalisha joto nyuma ya fridge lako na hiyo heat ni sensible unaweza kuifeel kabsa kua inabadilisha halijoto room kwako hasa kama uko kwenye enclosed space kama kwenye karoom kadogo
Anyways nimetumia concept ndogo tu ya Physics kwenye applications of second law of thermodynamics (operation of heat/ carnot engines). Watu wa Mechanical Engineering ndo wataalamu wa haya mambo wanaweza kuja hapa kuongeza kitu ama kusahihisha pale ambapo sikua sawa kwenye maelezo yangu. Lakini pia mambo ya operation za AC, refrigerator na car engines ni ya kwao wanaweza kuja hapa kutoa ufafanuzi kuhusu mada ya huyu mdau kuhusu matumizi ya umeme kwenye AC
Too deep.

Thnxs
 
Nimeyatimba nimechukua ac ya hisence btu18000 tena ya Dual inverter Aloo ac ni kama V8 anytime lazima umeme uwe full namaanisha ac ni jini la umeme sio mchezo

Kwa siku inaweza Kula umeme hata wa sh 5000 yani inaweza Meza unit 15 per day

Ushauri Wangu ni kwamba kama Una Hela ya kuunga unga usinunue ac utaacha imezimika sio mchezo ile ni jini umeme

Kama ntakuwa labda kuna tatizo masi mafundi mnieleweshe
Kuna mambo mengi ya kuzingatia wakati wa kununua AC.
Hakikisha unajua ukubwa wa chumba chako ili kuweka AC sahihi katika chumba chako, hakikisha Milango na Madirisha yanafungwa wakati wote ili hewa inayohusika kupoozwa isotoke nje na kupelekea AC yako kufanya kazi kwa muda mrefu.

Ukichukua AC kubwa kuliko chumba husika umekaribisha matumizi makubwa ya nishati, na pia inaathari kwa compressor hata kama haitakuwa inazunguka sana, kwa compressor imeundwa kufanya mizunguko maalum kama haitakamilika utaiua muda si mrefu. Hii "short cooling cycle" sisi tunaona kama faida kwa kuwa AC haitembei sana kuleta hewa baridi lakini inaifanya kuwaka mara kwa mara kwa kipindi kifupi. Na inawezekana ndio sababu ya mdau kuwa na ankara kubwa ya umeme.
 
Nimeyatimba nimechukua ac ya hisence btu18000 tena ya Dual inverter Aloo ac ni kama V8 anytime lazima umeme uwe full namaanisha ac ni jini la umeme sio mchezo

Kwa siku inaweza Kula umeme hata wa sh 5000 yani inaweza Meza unit 15 per day

Ushauri Wangu ni kwamba kama Una Hela ya kuunga unga usinunue ac utaacha imezimika sio mchezo ile ni jini umeme

Kama ntakuwa labda kuna tatizo masi mafundi mnieleweshe
Hivi ni vitisho vya kimaskini tu kama zamani tulivyokuwa tunatishwa eti simu ya mkononi inakula hela kama jini!

Hiyo AC yako ni mbovu tafuta wataalam wakurekebishie
 
hapana we Ac yako ina shida au mfumo wa umeme kwenye nyumba yako imekaa vibaya.AC inakula umeme unit 1 kwa siku na kama muda wote inafanya kazi ya 24 hours basi ni unit 2 au tatu.Ninayo hapa iko poa sana
 
Umeme na data zinakimbikia kuliko maelezo na hakuna watu wa kuwasimami au kujua wanachopewa walaji kama kipo sawa...
Ni kweli kabisa,kuna shida sehemu si umeme kikimbia namna hii,ni kawaida kabisa kwa mwezi kununua umeme wa elfu 80 na hapo friji ndio unawasha kwa masaa 6 kwa siku,ukisema uliwashe 24 hrs kwa siku utapigika hata laki na kitu kwa mwezi
 
Umeme hakuna kwa hiyo walichofanya ni kuongeza gharama kimya kimya ili watu wapunguze matumizi yaani Nchi yetu umeme wa taa kuchaji simu, kunyoosha nguo na fridge kwa asilimia kubwa tuu ni shida hapo watu wangekua wanatumia kupikia kama Zambia na Nchi zingine sijui ingekuwaje hiyo gesi yenyewe utadhani Nchi haina hata gesi..
 
Kupikia umeme TZ ni anasa mkuu,hiyo kupiga pasi baadhi ya watu wamerudi kutumia pasi za mkaa
 
Nimeyatimba nimechukua ac ya hisence btu18000 tena ya Dual inverter Aloo ac ni kama V8 anytime lazima umeme uwe full namaanisha ac ni jini la umeme sio mchezo

Kwa siku inaweza Kula umeme hata wa sh 5000 yani inaweza Meza unit 15 per day

Ushauri Wangu ni kwamba kama Una Hela ya kuunga unga usinunue ac utaacha imezimika sio mchezo ile ni jini umeme

Kama ntakuwa labda kuna tatizo masi mafundi mnieleweshe
Tatizo la baadhi ya wabongo ujifanya matajiri haliyakuwa ni mafukara
 
Daaaaah we jamaa bhana
Anyways, operation ya fridge ina violate the second law of thermodynamics: iko hivi, always heat inaflow from hot body/ area to cold body/ area and never the reverse: yani mfano unapokua unapasha kitu moto lazima upande ambao uko contact na moto utaanza kupata joto then joto hilo litaflow kuelekea maeneo ambayo hayana joto ama kwenye ubaridi, hiyo ndo principle na formula ya msingi ambayo inaapply hata kwenye maisha ya kila siku
Sasa fridge ina operate kwenye reverse direction yani heat inaflow from cold to hot body, hivyo ukifungua mlango wa fridge yako chumba chako kitapata joto zaidi ya ubaridi kwasababu heat itaanza kuflow kutoka kwenye fridge ambako kuna ubaridi yani cold body/ area kuja kwenye room yako ama sehemu ulipokaa ambako ni kwa muda huo tutapahesabu kama hot body/ area. Labda swali hapo ni kwanini inakua ivyo?! Compressor ya fridge inapokua inafanya kazi inazalisha joto jingi ambalo linatakiwa kua compressed into air kuleta ubaridi kwenye fridge yako. So ukifungua mlango wa fridge hiyo air haitokua converted/ compressed into cold air badala yake itatoka direct kwenye mfumo ule ule wa joto kama ambavyo imezalishwa na compressor ya fridge yako
Hata hivyo pamoja na yote hayo, hata kama mlango wa fridge yako ukiwa hauko wazi bado kuna kiasi cha joto kinachozalishwa na compressor kitaendelea kupotea nje kwasababu sio heat yote inayozalishwa compressor itakua converted into cold air kwenye fridge work must be done kuhakikisha hilo linafanikiwa matokeo yake ndo hayo kwamba efficiency of any heat engine (Carnot engine) is less than 100% and even far less than 50%. So hicho kiasi ambacho sisi tunakiona kidogo cha joto kinachopotea ndo kinazalisha joto nyuma ya fridge lako na hiyo heat ni sensible unaweza kuifeel kabsa kua inabadilisha halijoto room kwako hasa kama uko kwenye enclosed space kama kwenye karoom kadogo
Anyways nimetumia concept ndogo tu ya Physics kwenye applications of second law of thermodynamics (operation of heat/ carnot engines). Watu wa Mechanical Engineering ndo wataalamu wa haya mambo wanaweza kuja hapa kuongeza kitu ama kusahihisha pale ambapo sikua sawa kwenye maelezo yangu. Lakini pia mambo ya operation za AC, refrigerator na car engines ni ya kwao wanaweza kuja hapa kutoa ufafanuzi kuhusu mada ya huyu mdau kuhusu matumizi ya umeme kwenye AC
Respect kwako mkuu, maelezo mazuri sana.

Comment yangu ilikuwa ya utani tu ila pia nimejifunza mengi mazuri kutoka katika comment yako hii.
 
Hivi ni vitisho vya kimaskini tu kama zamani tulivyokuwa tunatishwa eti simu ya mkononi inakula hela kama jini!

Hiyo AC yako ni mbovu tafuta wataalam wakurekebishie
Heheee mbovu eeh haya funga na ww
 
hapana we Ac yako ina shida au mfumo wa umeme kwenye nyumba yako imekaa vibaya.AC inakula umeme unit 1 kwa siku na kama muda wote inafanya kazi ya 24 hours basi ni unit 2 au tatu.Ninayo hapa iko poa sana
Hahaha kaka nipe ushahidi hapo kwako
 
Back
Top Bottom