Mtu-Pori
JF-Expert Member
- Nov 13, 2011
- 1,308
- 1,514
Hili nimeliona kwangu. Wakati wa hali ya hewa ya kawaida bila kuwasha feni huwa tunatumia units 3-4 kwa saa 24. Ila kwa sasa ni units 4 ndni ya saa 12. Usiku hadi asbh pangaboi mbili zinawaka. Mchana pia hasa sebuleni. Pangaboi ni za Africab, 75watts.Kuna jamaa kafunga pangaboy 3 kwenye nyumba yake,analalamika kwa siku anatumia unit 5 hadi 6,na zenyewe zinakula umeme balaa



