Baris
Member
- Feb 7, 2023
- 45
- 192
Inategemea na hitajio la mtu inamana huo usiku hiyo temp inakuwa hivyo ,maana mie nimesemea kwa nyakati za usiku mchana huwa siweki hiyo TempNormal temperature ya Dar ni 29-31 sasa kwann uwashe ac alafu useti 30. Si bora kuizima tu
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app

