Usijiloge ukafunga Ac kama huna hela utaiuza

Usijiloge ukafunga Ac kama huna hela utaiuza

Umeipata wapi hiyo mkuu, AC zinaramba unit balaa.
Mbona pangaboi ziko poa tu.

Weka pangaboi na hakikisha maji home hayakati kwa ajili kujimwagia pangaboi likizidiwa.
Maana kuna time haya madude ni kama yanapulizia moto sio upepo.
Ipo sema nlitaka ac Tu ila sikujua tatizo mafundi waongo hawaiwambii ukweli
 
Umeme wa ekfu 5 kwa mwezi ni laki unusu , hii nayo huwezi ?
Hahaaaaa kaka sijashindwa ndio maana kiatu iko on ila nimewasanua watu Tu wawe makini
959718972.jpg
 
Kaka mimi binafsi nimefunga bt 18000 kama ww chumbani umeme wa 5000 kwa siku ,mwanzo kabla ya Ac nilikuwa natumia umeme wa 10,000 siku 5 ,Ila saiv ni siku mbili ,Pia ukitaka ipunguze kula Usiweke nyuzi joto 18 compresa itazunguka bila kusimama ,mfano usiku kama hali ya hewa nzuri weka 30 itakuwa compresa inawaka muda mchache sana na kuzima ,au ukiona bado hupati weka 27 tu ,na ukizoea hii kitu aisee huwezi lala bila kuweka mufindi
 
Btu 18000 ni kubwa sana kwa chumba cha kulala sijui ukubwa wa chumba chako, nimefunga ya btu 12000 na ni non inverter naona iko poa sana, ukifunga elekeza kitanda chako kilipo inakuwa inapuliza vizuri
 
Kaka mimi binafsi nimefunga bt 18000 kama ww chumbani umeme wa 5000 kwa siku ,mwanzo kabla ya Ac nilikuwa natumia umeme wa 10,000 siku 5 ,Ila saiv ni siku mbili ,Pia ukitaka ipunguze kula Usiweke nyuzi joto 18 compresa itazunguka bila kusimama ,mfano usiku kama hali ya hewa nzuri weka 30 itakuwa compresa inawaka muda mchache sana na kuzima ,au ukiona bado hupati weka 27 tu ,na ukizoea hii kitu aisee huwezi lala bila kuweka mufindi
lumber asantee
 
Dah! Uko vzur mkuu
Hizo 18,000 btu nmezioea Kwny ofisi kubwa,mabenki au wale wenye sebule kubwa na ikifungwa moja home ni uhakika inapiga Hadi dining Safi TU.

Vyumbani Mara nyingi btu9,000 umezidi Sana btu 12,000
Mkuu Sikatai unachosema vyuma vingi vinahitaji kuanzia 12000 ndo hapo unaenjoy ila hilo 9000 wengi wanalalamika na hasa chumba chako kikiwa sehemu mbaya (kunakozamia jua ) aisee hakuna rangi utaacha kuona ,
Uzuri wa hii 18000 kama chumba kimezibwa vizuri na hakuna mwingiliano yaani ingia toka ,huwa haichelewi kujaza chumba na compresa ikazima ,yaani unapokuwa na Ac kubwa uzuri wake inawahi kujaza chumba haraka na inapunguza matumizi ya umeme maana hizi ndogo zinafanya compresa kuzunguka muda mrefu ili kuleta ule ubaridi ndani ..
Mimi yangu huwa naiset kwa saa moja tu inazunguka basi inajizima hapo ,na panaweza pakakaa ndani na ubaridi kwa muda mrefu sana
 
Back
Top Bottom