Toka tulipoambiwa gari ni anasa tunaamisha tu anasa mpaka kwenye AC na mashine za kufuria nguo..Akili za kibongo hizi , AC ni anasa kwa nyosolanders
Ulikurupuka! U just need a 9000 BTUNimeyatimbanimechukua ac ya hisence btu18000 tena ya Dual inverter Aloo ac ni kama V8 anytime lazima umeme uwe full namaanisha ac ni jini la umeme sio mchezo
Kwa siku inaweza Kula umeme hata wa sh 5000yani inaweza Meza unit 15 per day
Ushauri Wangu ni kwamba kama Una Hela ya kuunga unga usinunue ac utaacha imezimika sio mchezo ile ni jini umeme
Kama ntakuwa labda kuna tatizo masi mafundi mnieleweshe
Kweli wewe ni mtani wa taifa, kijumba mbeho iwe acSasa unaweka ac ya nini wakati fridge unayo? Washa fridge acha mlango wazi ule upepo.


Ooh kumbeBlender na pressure cooker hazili sana umeme
Joto 30 si bora uzime a.c, hizo zenye inverter wanasema zinawaka kilingana na setting ya twmlerature ambazo hazina inverter ndo compressor zinawaka full timeKaka mimi binafsi nimefunga bt 18000 kama ww chumbani umeme wa 5000 kwa siku ,mwanzo kabla ya Ac nilikuwa natumia umeme wa 10,000 siku 5 ,Ila saiv ni siku mbili ,Pia ukitaka ipunguze kula Usiweke nyuzi joto 18 compresa itazunguka bila kusimama ,mfano usiku kama hali ya hewa nzuri weka 30 itakuwa compresa inawaka muda mchache sana na kuzima ,au ukiona bado hupati weka 27 tu ,na ukizoea hii kitu aisee huwezi lala bila kuweka mufindi![]()
AC za inverter, compressor inabadili speed ya uzungukaji wa motor kule ndani kutegemea na joto uliloset ( low temp >> high speed )Joto 30 si bora uzime a.c, hizo zenye inverter wanasema zinawaka kilingana na setting ya twmlerature ambazo hazina inverter ndo compressor zinawaka full time
Kiongozi hiyo 30 inasaidia sana maana tunalala na mtoto ,compresa inazinguka inajizima kwetu naona kwa usiku inanifaaa sana maana nikiweka hata 27 baridi likakuwa kali sana maana chumba pia si kikubwa sana ila nimefunga bt 18000Joto 30 si bora uzime a.c, hizo zenye inverter wanasema zinawaka kilingana na setting ya twmlerature ambazo hazina inverter ndo compressor zinawaka full time
Normal temperature ya Dar ni 29-31 sasa kwann uwashe ac alafu useti 30. Si bora kuizima tuKiongozi hiyo 30 inasaidia sana maana tunalala na mtoto ,compresa inazinguka inajizima kwetu naona kwa usiku inanifaaa sana maana nikiweka hata 27 baridi likakuwa kali sana maana chumba pia si kikubwa sana ila nimefunga bt 18000
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app