Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 21,854
- 27,025
Tablizer ndo dudu gani? Kazi yake nini?Mpya ndio sema walifunga tablizer kwa nyuma nahisi ndio inanyonya umeme nashangaa sana
Tablizer ndo dudu gani? Kazi yake nini?Mpya ndio sema walifunga tablizer kwa nyuma nahisi ndio inanyonya umeme nashangaa sana
Inawezekana anatujuza kuwa nae anayoMbona kuna mambo sio ya kulalamika humu asee. Kuna tatizo sehemu
Oh ok nimekuelewa mkuu. Nzuri ni ipi kwa chumbani?hizi hakuna kitu, achana nazo
Inawezekana anatujuza kuwa nae anayoMbona kuna mambo sio ya kulalamika humu asee. Kuna tatizo sehemu
Thermostat.Chumba kuwa na matobo hakuongezi units za umeme, Bali zinapunguza uharaka wa kupoza eneo!
AC za split type ndiyo ziko vyema kwa matumizi ya home, izi portable zinatoa ubaridi ukiwa karibu nayo na mbaya zaidi inabidi uache wazi sehem chache haitaki chumba kiwe completely sealedOh ok nimekuelewa mkuu. Ni ipi kwa chumbani?
Hahaha nomaInawezekana anatujuza kuwa nae anayo
Kuna jamaa kafunga pangaboy 3 kwenye nyumba yake,analalamika kwa siku anatumia unit 5 hadi 6,na zenyewe zinakula umeme balaaChakufanya Funga Pangaboi
Twafaa Tutumie NiniKuna jamaa kafunga pangaboy 3 kwenye nyumba yake,analalamika kwa siku anatumia unit 5 hadi 6,na zenyewe zinakula umeme balaa
Hizo znaitwa air cooler bei yake ni around 200k mpka 400k kwa mpya hazili sana umemeMkuu bora umenichana mapema, nilikuwa nafikiria kipindi cha kiangazi kikianza nikanunue AC Dual inverter kulikabili joto linalokuwa huku ninapoishi, kumbe nitakuwa nimejiroga. Ipi nafuu sasa?
Alafu nimesikia kuna mobile AC's yaani ukitaka kuihamishia sitting room au bed room zipo. Ushapata details zake mkuu?
Naweza nikapata wapi hizi mkuu?Hizo znaitwa air cooler bei yake ni around 200k mpka 400k kwa mpya hazili sana umeme
Mkuu nipe somo kidogo kuhusu hizo split type maana nahitaji moja tu ya room. Wengine hatuna uwelewa wa juu kuhusu AC. Thanks in advanceAC za split type ndiyo ziko vyema kwa matumizi ya home, izi portable zinatoa ubaridi ukiwa karibu nayo na mbaya zaidi inabidi uache wazi sehem chache haitaki chumba kiwe completely sealed