LICHADI
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 4,717
- 13,439
Nimeyatimba [emoji28][emoji23][emoji23] nimechukua ac ya hisence btu18000 tena ya Dual inverter Aloo ac ni kama V8 anytime lazima umeme uwe full namaanisha ac ni jini la umeme sio mchezo
Kwa siku inaweza Kula umeme hata wa sh 5000[emoji23][emoji23][emoji23] yani inaweza Meza unit 15 per day
Ushauri Wangu ni kwamba kama Una Hela ya kuunga unga usinunue ac utaacha imezimika sio mchezo ile ni jini umeme
Kama ntakuwa labda kuna tatizo masi mafundi mnieleweshe