Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 13,346
- 21,243
AC waachieni CCM sie wengine twende na feni
Kabla ya kuweka AC ulikuwa unatumia umeme kiasi gani?Nimeyatimba [emoji28][emoji23][emoji23] nimechukua ac ya hisence btu18000 tena ya Dual inverter Aloo ac ni kama V8 anytime lazima umeme uwe full namaanisha ac ni jini la umeme sio mchezo
Kwa siku inaweza Kula umeme hata wa sh 5000[emoji23][emoji23][emoji23] yani inaweza Meza unit 15 per day
Ushauri Wangu ni kwamba kama Una Hela ya kuunga unga usinunue ac utaacha imezimika sio mchezo ile ni jini umeme
Kama ntakuwa labda kuna tatizo masi mafundi mnieleweshe
Sasa 26°C si joto kali hilo? Room temperature 20°C angalau.Unit maximum 2-3 ila kama utawasha bla kuizima na ubarid utaset wa kawaida mfano 26 kuendelea
1 btu = 0.293 WattsUnit maximum 2-3 ila kama utawasha bla kuizima na ubarid utaset wa kawaida mfano 26 kuendelea
Fungeni heaterSisi tuliopo kwenye baridi tufunge nn?
UlimbukeniBTU 18 ni kubwa ungenunua BTU 8
Huyu alikosa ushauri ,hiyo AC ni heavy dutyAC za sasa hivi zinazima automatic na kujiwasha muda fulani joto uliloset likiwa limefikiwa ni kama fridge tuu sema mimi nawaamini sana LG/Sumsung huko kwingine mimi ni mgeni kidogo...wasingeweka kwenye Lodge hizi kama gharama ni hiyo mkuu fanya waje wataqlamu wakurekebishie..
Masaa 10 ni unit 26.3 X350 =hela hizo...1 btu = 0.293 Watts
9000 btu =2637 Watts = 2.63 unit per hour
So AC moja ni lakiUkifunga Ac 3 kama zajamaa ukaziwasha masaa 24 Kwa mwezi unatumia kama unit 858 mpaka 900. Kwahio atleast unaweka umeme wa laki tatu mpaka lakitatu na nusu.
KibwebweSisi tuliopo kwenye baridi tufunge nn?
Sio kweli1 btu = 0.293 Watts
9000 btu =2637 Watts = 2.63 unit per hour
😂😂 hauko darSasa 26°C si joto kali hilo? Room temperature 20°C angalau.
An 18,000 BTU air conditioner will consume approximately 9 kWh of electricity in 6 hours. This is based on an estimated power consumption of 1.5 kW per hour. The actual consumption may vary depending on factors like the efficiency of the unit and the outside temperatureUmeme wa 5000? Mbona hiyo ni nzuri Sana, huku kuna jamaa anakata mpaka umeme wa 20000 kwa siku?
Nawachongea Tanesco!Lodge sio wa kutolea mfano baadhi yao wanachakachua balaa umeme unaotumika kwenye maAC haupiti kwenye mita