Usijiloge ukafunga Ac kama huna hela utaiuza

Usijiloge ukafunga Ac kama huna hela utaiuza

AC za sasa hivi zinazima automatic na kujiwasha muda fulani joto uliloset likiwa limefikiwa ni kama fridge tuu sema mimi nawaamini sana LG/Sumsung huko kwingine mimi ni mgeni kidogo...wasingeweka kwenye Lodge hizi kama gharama ni hiyo mkuu fanya waje wataqlamu wakurekebishie..

Lodge sio wa kutolea mfano baadhi yao wanachakachua balaa umeme unaotumika kwenye maAC haupiti kwenye mita
 
Dah maisha haya mkuu wew acha tu, mim juzi na jana nimezima taa za nje nimeona zinamalizza umeme tu
ndo hivyo unakuwa unamind mbona units zinaisha haraka hivi, mpaka unaona TANESCO wanakuibia, unadhani ukiweka umeme hata wa laki utawaza hizo habari!
 
Sidhani kama kweli nia yake ndiyo hiyo, maana hatujuani physical, hata akitaka kutujaza anayo haina maana.
Anajua ntania
1720892135.jpg
 
Umeipata wapi hiyo mkuu, AC zinaramba unit balaa.
Mbona pangaboi ziko poa tu.

Weka pangaboi na hakikisha maji home hayakati kwa ajili kujimwagia pangaboi likizidiwa.
Maana kuna time haya madude ni kama yanapulizia moto sio upepo.
 
Nimeyatimba nimechukua ac ya hisence btu18000 tena ya Dual inverter Aloo ac ni kama V8 anytime lazima umeme uwe full namaanisha ac ni jini la umeme sio mchezo

Kwa siku inaweza Kula umeme hata wa sh 5000 yani inaweza Meza unit 15 per day

Ushauri Wangu ni kwamba kama Una Hela ya kuunga unga usinunue ac utaacha imezimika sio mchezo ile ni jini umeme

Kama ntakuwa labda kuna tatizo masi mafundi mnieleweshe
Umeme wa ekfu 5 kwa mwezi ni laki unusu , hii nayo huwezi ?
 
Back
Top Bottom