Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,317
- 54,861
Jamaa anaonekana ni mwanaume wa dar, alaf roho nyepesi sana. Yaaan mtu wako , unajua kabisa amebadilika kitabia alaf unaogopa kuchunguzamahari nimemlipia.... simu namnunulia kila mwaka mpya... vocha namwekea..... nimemtoa kwao na kumleta kwangu.... lazima nimjue undani wake.... nitafuatilia nyendo zake zote..... sitishwi na kinyago nlichochonga!