Usijaribu kumfuatilia Mwanamke!

Usijaribu kumfuatilia Mwanamke!

hivi huwa mnapata wapi guts za kuwachunguza wake zenu??
atleast yule anayemcare mkewe .mtu humjali mkeo/mwanamke wako alafu kuuutwaa kumfatilia!!!! shame upon U!
Yaa mtakUfa siku si 'ZENYU'
Mkuu inaonekana mmeo hakujali kabisaa ndio maana unadhani waume wote wako hivyo.

Pole sana ndg.
 
Upuuzi mwingine huu...Sasa nisichunguze mwanamke wangu ili iweje?
Nikija gundua tabia zake huko mbeleni nitamlaumu nani?
Heri uchunguze mwanzo na uendelee kumchunguza la sivyo utakuja ambulia magonjwa yasotibika.
 
Chunga pesa yako ulie kutana nae katikati ya safari yako ya maisha mwache aendelee na safari na we endelea na safari yako

Kumchunguza mpenzi wako ni moja ya njia ya kujilinda ila jitahidi usijilinde wakati huna uwezo wa kujilinda
 
mtoa mada hajielewi? kwanza aseme kipi kinavumilika kati ya kuishi na hofu ya kumfuatilia au kumfuatilia na kujua ukweli na kufanya maamuzi ili maisha yaendelee?

hahaha aisee !unapomfatilia mkeo hakikisha na ww ni safi
 
Mwaka huu wenu, Kila leo mnalia humu, ila niseme hivi, kama unampenda, unamuheshimu, unamjali na kumthamini hawezi chepuka,na usihangaike kumchunguza, lakini usipofanya hivi, mchunguze tu ili upate sababu ya kuachana
 
Mwaka huu wenu, Kila leo mnalia humu, ila niseme hivi, kama unampenda, unamuheshimu, unamjali na kumthamini hawezi chepuka,na usihangaike kumchunguza, lakini usipofanya hivi, mchunguze tu ili upate sababu ya kuachana


wewe umesema !mwanamke anayetunzwa vilivyo 100%hawez chepuka !kwanza wanaume wote anawaona km wanawake wenzake !nna eksipiriensi na hii
 
sawa unayosema lakini haiwezekani ukawa kimya. Lazima ufanye kitu kitakacho tia woga isiwe kama haisi uwepo wako. Vinginevyo atafanya atakalo hata chumbani kwako.
 
Back
Top Bottom