MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,084
Sasa kama anadaiwa si angeniambia....
Aisee kipigo nilichoshusha acha kabisa
wanawake wadhaif sana !pole
Sasa kama anadaiwa si angeniambia....
Aisee kipigo nilichoshusha acha kabisa
Ukiona panafuka moshi…Nakusihi kijana Mwenzangu na Mwanaume Mwenzangu, usije ukathubutu kumfuatilia Mwanamke kwa kumpima ni kwa kiasi gani yeye ni mwaminifu kwako.
Acha ibaki tu kuwa ni wa kwako kwa kuwa Uko nae na akiwa mbali na wewe sio wa kwako maana haya mambo ya kumfuatilia nyendo Zake yanaweza yakakufanya ukachukua maamuzi Magumu na ikakugharimu.
Huo ni ushauri wangu kwako, mimi yamenikuta.
Nakusihi kijana Mwenzangu na Mwanaume Mwenzangu, usije ukathubutu kumfuatilia Mwanamke kwa kumpima ni kwa kiasi gani yeye ni mwaminifu kwako.
Acha ibaki tu kuwa ni wa kwako kwa kuwa Uko nae na akiwa mbali na wewe sio wa kwako maana haya mambo ya kumfuatilia nyendo Zake yanaweza yakakufanya ukachukua maamuzi Magumu na ikakugharimu.
Huo ni ushauri wangu kwako, mimi yamenikuta.
Mkuu ni hao wanawake mnaowaokotaga huko? pole sana aisee...Nakusihi kijana Mwenzangu na Mwanaume Mwenzangu, usije ukathubutu kumfuatilia Mwanamke kwa kumpima ni kwa kiasi gani yeye ni mwaminifu kwako.
Acha ibaki tu kuwa ni wa kwako kwa kuwa Uko nae na akiwa mbali na wewe sio wa kwako maana haya mambo ya kumfuatilia nyendo Zake yanaweza yakakufanya ukachukua maamuzi Magumu na ikakugharimu.
Huo ni ushauri wangu kwako, mimi yamenikuta.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji125] [emoji125]...mtu humjali mkeo/mwanamke wako alafu kuuutwaa kumfatilia!!!! shame upon U!
Yaa mtakUfa siku si 'ZENYU'
anachunguzwa vizuri tu,,,wanaogopa kuchunguza ndo wale wanaojitapa kwa watu kua ana mpenzi mzur mwaminifu,,kumbe mtu unaemwambia ametoka kujipigia jana,,,,chunguza tu kama takataka piga chini okota mwingneNakusihi kijana Mwenzangu na Mwanaume Mwenzangu, usije ukathubutu kumfuatilia Mwanamke kwa kumpima ni kwa kiasi gani yeye ni mwaminifu kwako.
Acha ibaki tu kuwa ni wa kwako kwa kuwa Uko nae na akiwa mbali na wewe sio wa kwako maana haya mambo ya kumfuatilia nyendo Zake yanaweza yakakufanya ukachukua maamuzi Magumu na ikakugharimu.
Huo ni ushauri wangu kwako, mimi yamenikuta.
Kwa hiyo hata kabla hujamuoa ulikua hujamchunguza?Nakusihi kijana Mwenzangu na Mwanaume Mwenzangu, usije ukathubutu kumfuatilia Mwanamke kwa kumpima ni kwa kiasi gani yeye ni mwaminifu kwako.
Acha ibaki tu kuwa ni wa kwako kwa kuwa Uko nae na akiwa mbali na wewe sio wa kwako maana haya mambo ya kumfuatilia nyendo Zake yanaweza yakakufanya ukachukua maamuzi Magumu na ikakugharimu.
Huo ni ushauri wangu kwako, mimi yamenikuta.
Hapa najua tutakuelewa wachache tuhahhaa alaf hujui tu saikolojia za wanawake !adhab kubwa ilikua usimpige !we mchukue ondoka naye !yaan hapo atafanya tena na tena....
mie yalinitokea hayohayo! nikpga chin fastayaani kuna rafiki yangu tu msichana nilihack whatsApp yake aise yaani kuna mtu anamuita mume na wanapanga mipango mingi tu, pia kuna mwingine anamwambia aje atoe mahali 😀😀😀😀😀😀😀...
yaani nilichoka
Ila kama shida ni uchumi hawezi mwambiapole sana !siku nyingne usipige !muulize shda nn km anakpenda walah atakuambia wapi pameloose!
Next time usipige hivyo mkuu, utakuja kuua upate murder case bure ufie gerezaniBob ule mkong'oto alikua anaongea na ndugu zake anasema "huyu jamaa ni muuaji, nimepona kwa nguvu za Mungu"
... mi huwa sioni mahala pa kumpiga mwanamke naona kama ntaua hivi,unajua mwanamke kufa rahisi sana
Mmmmhh mi sithubutu japo mda mwingine napataga kama shauku ila naogopa kuimia moyo.Ni kheri ujue uchague kusuka au kunyoa
Dadek utakufa mapema mkuuumahari nimemlipia.... simu namnunulia kila mwaka mpya... vocha namwekea..... nimemtoa kwao na kumleta kwangu.... lazima nimjue undani wake.... nitafuatilia nyendo zake zote..... sitishwi na kinyago nlichochonga!
Noma sana Tarime man.mahari nimemlipia.... simu namnunulia kila mwaka mpya... vocha namwekea..... nimemtoa kwao na kumleta kwangu.... lazima nimjue undani wake.... nitafuatilia nyendo zake zote..... sitishwi na kinyago nlichochonga!
Mfuatilie ila hakikisha una moyo mgumu.mahari nimemlipia.... simu namnunulia kila mwaka mpya... vocha namwekea..... nimemtoa kwao na kumleta kwangu.... lazima nimjue undani wake.... nitafuatilia nyendo zake zote..... sitishwi na kinyago nlichochonga!