Usijaribu kumfuatilia Mwanamke!

Usijaribu kumfuatilia Mwanamke!

Atakubal nan sitaki magonjwa mie ukisema hivyo unakuwa una angamia kwa kukosa maarifa hata mungu hapendi
 
Kumfuatilia mwanamke ni kukosa kazi.

Utamfuatiliaje Mtu mzima mwenye akili zake na asiye na ukichaa?

Niache kufuatilia dili za pesa nimfuatilie mwanamke?

Mwanamke akitaka kuchepuka atachepuka tu hata ukimweka mfukoni kama Wallet na kutembea naye kila mahali.
 
mie nilikuja jua hyo!wanaakili za hali ya juu sana !ukitaka kumuwin mwanamke we mjali na kumkumbusha dunia ilivyoharibika !sasa ww kaa kila siku kumtisha tisha!
 
mahari nimemlipia.... simu namnunulia kila mwaka mpya... vocha namwekea..... nimemtoa kwao na kumleta kwangu.... lazima nimjue undani wake.... nitafuatilia nyendo zake zote..... sitishwi na kinyago nlichochonga!
Nyie ndo mnajiuaga nyie na kuua wengine
 
Nyie ndo mnajiuaga nyie na kuua wengine
Nijiue kwa nini? Wanawake wote waliojaa! Kwangu changamoto ni kuoa - mchakato wake mgumu sana.... kuacha nahitaji a single minute... like a mouse click!
 
Nijiue kwa nini? Wanawake wote waliojaa! Kwangu changamoto ni kuoa - mchakato wake mgumu sana.... kuacha nahitaji a single minute... like a mouse click!
Easier said than done...kaa unadhani kuachana ni rahisi u apotezaje mda wa kuchunguza unaoa nani?.
Mbona unajicontradict?.!
 
Easier said than done...kaa unadhani kuachana ni rahisi u apotezaje mda wa kuchunguza unaoa nani?.
Mbona unajicontradict?.!
Unachanganya mada... siwezi kufuatilia nyendo za mwanamke asie wangu...! Mke wng yuko ktk himaya yng, napaswa kujua mienendo yake...!
 
Wote tu ni vema kuchunguza mara moja moja hata mwanaume ili ujue namna ya kujilinda au kuanza upya
 
Back
Top Bottom