Usijaribu kumfuatilia Mwanamke!

Usijaribu kumfuatilia Mwanamke!

Eeeh
Na kama umeoa ila unaogopa kujua mjeo anafanya nn basi ndoa si yako.
Subiri ukue
Mkuu uanaume ni uwezo wa kuwa na kifua... ndio maana nimesema kama huwezi kushika hiyo simu basi usiowe huyo mwanamke maana siku ukisikia kakusaliti moja kwa moja utaingia kaburini.

Ni muhimu sana kuwa na vitu tunavyoweza kuvi control! ukimuacha mwanamke akupande kichwani andika maumivu.
 
mahari nimemlipia.... simu namnunulia kila mwaka mpya... vocha namwekea..... nimemtoa kwao na kumleta kwangu.... lazima nimjue undani wake.... nitafuatilia nyendo zake zote..... sitishwi na kinyago nlichochonga!
Mwanamke hata umnunulie ndege ni kazi bure tu watakugongea vizuri sana labda uwe kama nyegere uache shughuli zako zote asilimia 100 ili uwe na kazi ya kujiari kumchunga muda wote.Kumbuka kuwa kugongwa ni starehe tamu kuliko zote hawezi kukaa tu ana kungoja wewe, kwani wewe umekuwa Mungu?
 
Siwezi kumzuia KUGONGWA...
 
So nimuache agongwe? Kuridhika na kutoridhika kwa mwanamke sio justifications ya kutofuatilia nyendo zake...
 
Kwa mimi ambaye sijaoa nisipomchunguza mpenzi wangu kabla nitajilaumu baadae.
It's better nijue mapema tu.

Kwa wewe uliyekwisha oa kama hukumchunguza mke wako, jiandae kwa lolote.

Wivu ndiyo upendo japo usizidi sana.

Mchunguze ili ujilinde kabla ya hatari.
Your real wasting your time for nothing, no one can manage to control life styles of his/her partner.If you could attach like body louse then it could be possible.
 
Enheee, tupe kisanga kizima....ilikuwaje? Je, kabla ya kusalitiwa ulikuwa unamtimizia kila kitu, gegedo lilikuwa la kuridhisha, je ulikuwa unashabikia sana bongo fleva na taarab na kumsahau yeye? Tujulisha mkuu, usione haibu.
[emoji23] [emoji23] [emoji125]
 
Kumfuatilia ke ni kukosa kazi na kutojiamini

Sikuwahi kumfuatilia ila niliyoyajua yalinifanya nimshibe na ikapelekea kumdharau na kumtoa kabisa ktk mipango endelevu

Na hilo linamfanya aishi ndani ya nyumba bila thamani na imebaki juu yake abebe virago au abaki,
Nimevuta mwingine nae akuzingua nampunguza.......this is stress free world,ukijifanya unataka intimacy luv toka kwao jiandae kuzikwa,kwenda jela au kuishi ukimbizini kwa kakimbia RB
Maisha ni mafupi huna haja ya kuwafikiria sana hawa viumbe na wao wasitufikirie kihiivyo.....maana woote sisi ni wale wale
 
anachunguzwa vizuri tu,,,wanaogopa kuchunguza ndo wale wanaojitapa kwa watu kua ana mpenzi mzur mwaminifu,,kumbe mtu unaemwambia ametoka kujipigia jana,,,,chunguza tu kama takataka piga chini okota mwingne
Hahaha...utapiga chini wangapi?

Mwanamke akijua unamchunguza au una wivu naye sana ndio atagawa haswaaa.
 
mahari nimemlipia.... simu namnunulia kila mwaka mpya... vocha namwekea..... nimemtoa kwao na kumleta kwangu.... lazima nimjue undani wake.... nitafuatilia nyendo zake zote..... sitishwi na kinyago nlichochonga!
Nilitaka nitoe jibu kama hili.... Tena mi huwa ndo nahack mpaka mawasiliano yake..
.sasa ole wake nijue anachepuka maana ye mwenyewe anajua kwamba mimi ni vitendo tu na nikimwambia kitu huwa nafanya kweli mpaka ananiogopa
 
Mwanamke/ mwanaume anajichunga mwenyewe... Akiamua kukucheat anakucheat tu hata iweje...

Jiamini na umuamini mwenzio... Ukitaka Kujipa stress za kujitakia mfatilie mwanaume ..

Cc Smart911
 
Nakusihi kijana Mwenzangu na Mwanaume Mwenzangu, usije ukathubutu kumfuatilia Mwanamke kwa kumpima ni kwa kiasi gani yeye ni mwaminifu kwako.

Acha ibaki tu kuwa ni wa kwako kwa kuwa Uko nae na akiwa mbali na wewe sio wa kwako maana haya mambo ya kumfuatilia nyendo Zake yanaweza yakakufanya ukachukua maamuzi Magumu na ikakugharimu.

Huo ni ushauri wangu kwako, mimi yamenikuta.
sema yaliyokukuta ikiwezekana tupia na kapicha ili tukuelewe vyema.
 
Yaani ukiona hufaidi unasepa kwenye greener pastures sio unaongea hayo afu unarudi kwangu,nikikufuma nakudharirisha ndo urudi ukalelewe na baba yako
 
Back
Top Bottom