ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,743
- 88,923
Mie humu ndani nacheka sana ila hawa jamaa wanaojifanya Ku care sana ndo wanaofuatilia wake zao lakini cha ajabu utasikia mwanamk anasema mumewangu mkali yaani yuko tayari kugongwa ila mpaka awe na uhakika wa mazingiraKumfuatilia ke ni kukosa kazi na kutojiamini
Sikuwahi kumfuatilia ila niliyoyajua yalinifanya nimshibe na ikapelekea kumdharau na kumtoa kabisa ktk mipango endelevu
Na hilo linamfanya aishi ndani ya nyumba bila thamani na imebaki juu yake abebe virago au abaki,
Nimevuta mwingine nae akuzingua nampunguza.......this is stress free world,ukijifanya unataka intimacy luv toka kwao jiandae kuzikwa,kwenda jela au kuishi ukimbizini kwa kakimbia RB
Maisha ni mafupi huna haja ya kuwafikiria sana hawa viumbe na wao wasitufikirie kihiivyo.....maana woote sisi ni wale wale
Mie huo mda sina na nipo kama sio na huwa namwambia Fanya yote nisijue tu lakini akumbuke arobaini huwa zinafika