Usijaribu kumfuatilia Mwanamke!

Usijaribu kumfuatilia Mwanamke!

wewe umesema !mwanamke anayetunzwa vilivyo 100%hawez chepuka !kwanza wanaume wote anawaona km wanawake wenzake !nna eksipiriensi na hii
Ni kweli kabisa, shida inakuja pale anapoanza kukuona wa kawaida, matunzo hadi ubembeleze, dharau zinazidi, yaani anaanza kukuchukulia poa tu, kengele ya hatari ikianza kulia kichwani kwa mwanamke, lazima atafute wa kumpoozea machungu na hasira
 
Nakusihi kijana Mwenzangu na Mwanaume Mwenzangu, usije ukathubutu kumfuatilia Mwanamke kwa kumpima ni kwa kiasi gani yeye ni mwaminifu kwako.

Acha ibaki tu kuwa ni wa kwako kwa kuwa Uko nae na akiwa mbali na wewe sio wa kwako maana haya mambo ya kumfuatilia nyendo Zake yanaweza yakakufanya ukachukua maamuzi Magumu na ikakugharimu.

Huo ni ushauri wangu kwako, mimi yamenikuta.

Kweli aisifiaye mvua jua imeshamnyeshea. Pole sana Mkuu ila Sisi Kaka zako siku hizi ile ' mishipa ' ya Kupenda imeshakatika na tunachokifanya sasa ni ' maigizo ' tupu ambapo Demu akionekana Mrembo anatongozwa kwa kupewa ' Sumu ' za maana kisha akishamegwa / akishagongwa safari yangu na yeye ndiyo imeishia hapo. Nakushauri tu usipoteze muda wako kwa maisha haya kuanzisha Uhusiano wa kudumu na Mwanamke wa Kiswahili / Kitanzania kwani utakuja kujuta kama ulivyojuta Wewe. Mimi nawashangaa mno Wanaume wa siku hizi wanaojifanya Kupenda na hadi kuamua kabisa Kufunga Ndoa kwani 98% ya Mademu wengi hawajatulia kabisa na ' wanagongeka ' ile mbaya? Binafsi 99.5% ya Mademu niwaowagonga ni ama Mademu za Masela au Wake za Watu na huwezi amini huwa ni wepesi sana Kutongozeka. Muwe mnafuata ushauri wa Sisi Kaka zenu humu.
 
Ni kweli kabisa, shida inakuja pale anapoanza kukuona wa kawaida, matunzo hadi ubembeleze, dharau zinazidi, yaani anaanza kukuchukulia poa tu, kengele ya hatari ikianza kulia kichwani kwa mwanamke, lazima atafute wa kumpoozea machungu na hasira

mada ifungwe kwa COMMENT hii hakuna kazi tena!umemaliza
 
Tatizo sio kumfuatilia tatizo ni yale utakayomkuta nayo utaweza kuyakabili
 
Ni kweli kabisa, shida inakuja pale anapoanza kukuona wa kawaida, matunzo hadi ubembeleze, dharau zinazidi, yaani anaanza kukuchukulia poa tu, kengele ya hatari ikianza kulia kichwani kwa mwanamke, lazima atafute wa kumpoozea machungu na hasira
 
Mkuu Naona hukuhitaji tujue kimetokea nn wala hukutaka tujue umehusika vp kweny hilo tukio! Ila umeona utupe mazungumzo baada ya habar!

Nakupongeza kwa kulitambua hilo!
 
hahahhaha umenena sahihi mkuu, mie niliona kwa bahati mbaya simu yake tulikuwa wanaume 4, wote tunapangwa tu nikasema kwa vile nami tabia za hovyo ngoja nisepe kimya kimya

mwingine nilimgawia grissi yangu akawa anajitapa kwa mwenzake, mwenzake kaiba namba yangu na kunichana alivyo ma msururu wa wanaume. nikajua nae ni njaa ya griss tu japo kweli yule mtu alikili kutupanga nikasepa.

Nilicho kuja kugundua ni njaa ya griss tu inawasumbua
 
Nisimchunguze ili iweje?, kwa nini?
Wenye vifua vidogo na uwoga kama watoto acheni kuwachunguza , ila Mimi ntamchunguza kila hatua .
 
Kumchunguza ni lazma. Labda kama unapiga na kusepa, lazma ujue nyendo zake ndo hapo ujiridhishe kuwa una mke au mchumba bora.
 
hivi huwa mnapata wapi guts za kuwachunguza wake zenu??
atleast yule anayemcare mkewe .mtu humjali mkeo/mwanamke wako alafu kuuutwaa kumfatilia!!!! shame upon U!
Yaa mtakUfa siku si 'ZENYU'
Pls fafanua, una maana gani unaposema, "humjali" mkeo...
 
Nakusihi kijana Mwenzangu na Mwanaume Mwenzangu, usije ukathubutu kumfuatilia Mwanamke kwa kumpima ni kwa kiasi gani yeye ni mwaminifu kwako.

Acha ibaki tu kuwa ni wa kwako kwa kuwa Uko nae na akiwa mbali na wewe sio wa kwako maana haya mambo ya kumfuatilia nyendo Zake yanaweza yakakufanya ukachukua maamuzi Magumu na ikakugharimu.

Huo ni ushauri wangu kwako, mimi yamenikuta.
NAKUPINGA MKUU
IMG-20180308-WA0033.jpg
 
Kijana roho yako nyepesi. Si wote wanaotishiwa nyau. So ni hiv, nam care kwa gharama zangu mwenyewe na nina mpa kila kitu. Kuchunguzwa ni lazima, tena kama jina langu detective J. Yeye mwenyewe anajua kuna kipindi nakuwa FBI, na search pembe zote
 
Back
Top Bottom