Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,470
- 911,174
Wengi huhofu kurudiana na wapenzi wao wa zamani kwa madai ya kuwa atakuwa amemtegea kitu kibaya au marejesho ya majeshi haya hayana nia nzuri ila kuja kumkomoa............lakini mara nyingi wasiwasi huo huwa hauna msingi wa kweli na mhusika hujikuta anatupa mbachao kwa msala upitao...............................
Ukichunguza sana utakuta yule mpenzi wako wa zamani aliyekuwashia maindiketa na aliyeondoka kwa gia kubwa huku akitoa vibwagizo kibao vilivyokithiri kwa maudhi.....na resi za hapa na pale.........lakini kumbe kule alikoenda kujisitiri yamemkuta mwenzio na wewe huku huna hata habari ukidhani ana matanuzi ya maana yanaendelea kule....kumbe mwenzio kafanya mahesabu ya malinganisho na akagundua ya kuwa kumbe wewe ni lulu kwake na pia amefunzwa adabu na elimu dunia....................
Sasa akirudi kwako huku akikupigia magoti na chozi likimlengalenga wewe unaona umepata kivuno......waanza malipizi..........................na kwa kufanya hivyo bila ya kujua unapoteza mwandani ambaye sasa dunia imemkomaza kihaswa haswa na yupo tayari kukupa penzi la nguvu ambalo maishani mwako usingelipata............................
Kutokana na hasira na wasiwasi wako kuwa amekuja kukuvuruga kwa mara ya pili........unaamua kumtosa...............usifanye hivyo .............tafakari kwanza na kama bado haujakamatwa na kitu kipya na hata kama umeshikwa lakini mwendo siyo mdundo.................basi jitose naye kwenye hiyo "Baby come back...".........maana "life is a game of second chances..................neither deny him nor her a chance to prove her or his self-worthiness"...............................Baby come back ipo kwenye fashion kwa sababu hizo.................