Usihofu na "Baby come back.." jitose tena............acha kujivunga.....

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,422
911,172
Wengi huhofu kurudiana na wapenzi wao wa zamani kwa madai ya kuwa atakuwa amemtegea kitu kibaya au marejesho ya majeshi haya hayana nia nzuri ila kuja kumkomoa............lakini mara nyingi wasiwasi huo huwa hauna msingi wa kweli na mhusika hujikuta anatupa mbachao kwa msala upitao...............................

Ukichunguza sana utakuta yule mpenzi wako wa zamani aliyekuwashia maindiketa na aliyeondoka kwa gia kubwa huku akitoa vibwagizo kibao vilivyokithiri kwa maudhi.....na resi za hapa na pale.........lakini kumbe kule alikoenda kujisitiri yamemkuta mwenzio na wewe huku huna hata habari ukidhani ana matanuzi ya maana yanaendelea kule....kumbe mwenzio kafanya mahesabu ya malinganisho na akagundua ya kuwa kumbe wewe ni lulu kwake na pia amefunzwa adabu na elimu dunia....................

Sasa akirudi kwako huku akikupigia magoti na chozi likimlengalenga wewe unaona umepata kivuno......waanza malipizi..........................na kwa kufanya hivyo bila ya kujua unapoteza mwandani ambaye sasa dunia imemkomaza kihaswa haswa na yupo tayari kukupa penzi la nguvu ambalo maishani mwako usingelipata............................

Kutokana na hasira na wasiwasi wako kuwa amekuja kukuvuruga kwa mara ya pili........unaamua kumtosa...............usifanye hivyo .............tafakari kwanza na kama bado haujakamatwa na kitu kipya na hata kama umeshikwa lakini mwendo siyo mdundo.................basi jitose naye kwenye hiyo "Baby come back...".........maana "life is a game of second chances..................neither deny him nor her a chance to prove her or his self-worthiness"...............................Baby come back ipo kwenye fashion kwa sababu hizo.................
 
Heko mkuu, hiki ki2 kitupie kati pale kwa jamaa aliemegewa baada ya pete, yaani umemaliza, hapo ni mwisho mwisho kabisa
 
Kuna uhaja wa kuwakumbusha kumbusha..........wasiache mbachao kwa msala kwa upitao
 
Ruta ulishajaribu kumrudia mtu......... ni kosa la jinai mkuu.

Nilishawahi na penzi nililopewa lilikuwa ni Babu K...........................yaani yale masharti ya awali yote nililegezewa ile mbaya nikawa ni mtu wa kujinoma...usicheze na Baby come back......................
 
warudia mayapishi?? ujihisi kinyaa??
 
aISEE MIMI NILIDHANI NIKO PEKE YANGU, NILIRUDIA NILIPOTOKA EE BWANA RUTA, YOU KNOW WHAT, NO I THINK YOU YOU KNOW WHICH BWANA, mimi ilibidi niseme ukweli kuwa old is gold, yaani wenyewe hiyo tuita HOME SWEET HOME
 
mwanaume kumrudia girlfriend ni weakness hiyo! kama ni mke mmegombana then its ok kurudiana baada ya kutengana kwa miezi kadhaa kwani kila mmoja atakuwa amejuwa umuhimu wa mwenzake,, ila MCHUMBA ! jts move forward..
 
Acha ulimbukeni we njiwa unajifanya mbabe shauri yako, mtu kama karudi mi simwachi wala cvungi , yaani atacdengui, MIMI CWEZI KUFA KIMUA NA UTAMU WANGU MKUU
 
aISEE MIMI NILIDHANI NIKO PEKE YANGU, NILIRUDIA NILIPOTOKA EE BWANA RUTA, YOU KNOW WHAT, NO I THINK YOU YOU KNOW WHICH BWANA, mimi ilibidi niseme ukweli kuwa old is gold, yaani wenyewe hiyo tuita HOME SWEET HOME

Tatizo la hawa wenzetu ni kuwa wanakuwa wamemwekea mtu donge.....lakini ukweli wabaki palepale ya kuwa......................OLD IS GOLD.................
 
Tatizo la hawa wenzetu ni kuwa wanakuwa wamemwekea mtu donge.....lakini ukweli wabaki palepale ya kuwa......................OLD IS GOLD.................

Mtu anaejua utamu wa mpenzi aliekutoka lazima akirudi hatamwacha, unadhani kwa nini waswahili walinena kuwa mahawara hawaachani, yaani ukweli ni kuwa mtu akikutenda akaondoka, akilrudi anakuwa na adab na wajibu mara 100 zaidi ya mwanzo mlipokuwa wote, na hapo ndipo utamu wake unapokuja sasa, jaribuni uone, sharti arudi mwenyewe, utabembelezwa wewe, utakandwa, utafanyiwa kila ujuzi alioupata huko akarudi nao kwako, yaani si raha tu bali ni raha kwelikweli, Ruta hii topic yaani imenigusa mbaya
 
Nilishawahi na penzi nililopewa lilikuwa ni Babu K...........................yaani yale masharti ya awali yote nililegezewa ile mbaya nikawa ni mtu wa kujinoma...usicheze na Baby come back......................

Hapo kwenye red ndipo kunapo nitamanisha haswaaaaaaaaa.................
 
Acha ulimbukeni we njiwa unajifanya mbabe shauri yako, mtu kama karudi mi simwachi wala cvungi , yaani atacdengui, MIMI CWEZI KUFA KIMUA NA UTAMU WANGU MKUU
huyo njiwa anasema coz hayajawh kumtokea mtu anaachana na mtu hata mara tatu nabado wanarudiana anacheza na mapenzi huyo hebu kwanza tujue umri wake usimlaumu.
 
huyo njiwa anasema coz hayajawh kumtokea mtu anaachana na mtu hata mara tatu nabado wanarudiana anacheza na mapenzi huyo hebu kwanza tujue umri wake usimlaumu.

huyo njiwa atakuwa minor tu
 
Hapo kwenye red ndipo kunapo nitamanisha haswaaaaaaaaa.................

Sasa kakomaa baada ya kujua wewe kumbe ni lulu na hana lulu nyingine ya kukuzidi wewe...................
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom