Mwanaume ukisikia mkeo anachepuka basi jua huyu ndio mtu anayechepuka na mkeo

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,120
27,126
Ex boyfriend.

Mademu wengi nilio wahi kupita nao halafu baadae wakaenda kuolewa walinitafuta baada ya miezi kadhaa na kuendelea kunipa tunda kama kawaida huku wakiwaponda sana waume zao na maisha ya ndoa kwa ujumla.

Wastani wa mwanamke kuanza kuchepuka na ex boyfriend wake baada ya kuolewa huwa ni miezi sita na kuendelea though wapo wengine wanao rudi after a year, miezi tisa, miezi minne nakadhalika.

Halafu wanawake wenyewe ni wale aina ya wanawake ambao mababu zetu walituasa tusiwaoe. Hapa nawazungumzia wale " wanawake wazuri kupita kiasi"

Usioe mwanamke wa aina hiyo mkuu wengi wana mafuta ya taa vichwani

They are not marriagiable. Their marriagibility capacity has been incapacitated with their beauty.

Kuoa mwanamke mzuri ni sawa na kulima.shamba la miwa karibu na shule ya msingi halafu utegemee watoto wa shule hawata kula miwa yako.

Nikiwaga na demu wangu halafu nikasikia kachukuliwa na mtu mwingine huwa najisikia vibaya sana nikisikia kachukuliwa tu mshikaji kuliko nikisikia ameolewa kwa sababu najua kama amechukuliwa tu na mshikaji basi mimi ndo looser but kama kaolewa kabisa na mtu basi alio muoa ndio looser kwa sababu binti atakuwa kaenda kwa mwanaume huyo kwa sababu ya ndoa na sio kwa sababu anampenda kutoka moyoni na mwisho wa siku she will just come back to me.

# Latest : Kuna demu fulani mkali nilikuwa nae baadae akakata mawasiliano kimya kimya kumbe kaenda kuolewa bana. Yeye alinificha but nilikuja kugundua mwezi mmoja baadae kwamba ameolewa. Miezi minne baadae akanitafuta mwenyewe.

Siku alivyo nitafuta na kuomba kuongea na mimi nikasema yes leo ngoja nimsikie huyu mrembo atakuja na alibi gani.

Kaanza kunambia ooh yalitokea matatizo makubwa sana kwenye familia yao blah blah blah.

Sikutaka kumsanua kwamba najua ameolewa coz sikutaka ajisikie guilty.

She did not tell me ameolewa kabisa na pete ya ndoa akawa haivai.

Basi mzee nikawa nakula tu mzigo kama.kawa ingawa ratiba yake ilikuwa so tight. Atakuja kwako Jumamosi asubuhi by saa kumi anasema anawahi nyumbano sijui yupo na watoto wa sista blah blah blah.

Alikuwa ananionea wivu sana utadhani hana mume kweli. Wanawake nyie? ***** zenu yani!!!!!

Nimeenda nae hivyo kwa kama.miezi sita then akaanza kuniletea habari za kwenda kujitambulisha kwao.

Kufanya uchunguzi nikagundua yeye na.mumewe wametalikiana tayari na jamaa kamuachia mzigo wa maana.

Huyu mdada ni mzuri kweli kweli yani siku ukikutana nae kwa mara ya kwanza sauti ya kwanza utakayo itoa itakuwa " KHeeee".

# Usioe mwanamke ambae sio bikira. Haimaanishi hatokusaliti lakini at least utapunguza chances za kupigiwa.

KAMA UTASHINDWA BASI

#Usioe mwanamke mzuri sana. Oa mwanamke mwenye uzuri wa kawaida tu.

Ukisikia mkeo anatoka.nje ya ndoa basi mshukiwa wa kwanza ni ex boyfriend wake.
 
Wanawake wawili wote wameolewa mmoja ana watoto wanne mwingine ana watoto watatu.

Mmoja yupo tayari kunitumia nauli nimpe ujauzito eti abaki na chata yangu ingali yupo ndani ya ndoa.(HUYU NIMEMBLOCK KABISA)

Huyu mwingine ananihitaji tukumbushie tu ingali yupo ndani ya ndoa mpaka leo namwambia haya mama ntakuja.

(HAWA WOTE TULIPOTEANA MIAKA 12 NYUMA LAKINI BADO WAMEMISS VYA KALE

Ndoa siri ya ndani.
 
Wanawake wawili wote wameolewa mmoja ana watoto wanne mwingine ana watoto watatu.

Mmoja yupo tayari kunitumia nauli nimpe ujauzito eti abaki na chata yangu ingali yupo ndani ya ndoa.(HUYU NIMEMBLOCK KABISA)

Huyu mwingine ananihitaji tukumbushie tu ingali yupo ndani ya ndoa mpaka leo namwambia haya mama ntakuja.

(HAWA WOTE TULIPOTEANA MIAKA 12 NYUMA LAKINI BADO WAMEMISS VYA KALE



Ndoa siri ya ndani.
Ni kweli, hayo matukio ya wana wake yamenifanya nichukie ndoa......wanawake ukimuoa anakuona kama wewe fala walio mgegenda wakamuacha ndo wajanja
 
Ex boyfriend.

Mademu wengi nilio wahi kupita nao halafu baadae wakaenda kuolewa walinitafuta baada ya miezi kadhaa na kuendelea kunipa tunda kama kawaida huku wakiwaponda sana waume zao na maisha ya ndoa kwa ujumla.
Sure kabisa nilikuwa na manz tukapotezana kwa miaka kadhaa tulipokuja kuonana anataka tukumbushie mambo wakat yuko katika ndoa na mchz mmoja wa TRA
 
Back
Top Bottom