Entim
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 4,024
- 2,271
my husband, unaponisemea JF unamaanisha nini? wewe huwa unagegeda wangapi kwa wiki? nimeshakukamata ugoni mara 3 nikakusamehe, mwishoni nimeamua kulipiza kisasi....njoo ndani tuzungumze. kama huwezi kulea ndoa nirudishe kwa kaka nikapumzike. asante sanaHabarini za usiku wanaJF,kwa kweli nimefika hapa kuwahabarisha wanaume wenzangu,katika maisha yetu tusifikirie kuoa msichana wa kirangi maana hata umpe kila kitu na umgegede vipi mwisho wa siku atakusaliti tu,tena siyo na mtu mmoja,ukiweza tu kuingia nae chumbani msichana wa kirangi basi umeshamgegeda labda ushindwe wewe,yamenikuta jamani,sitaki yamkute mwanaume mwenzangu maana kugongewa inauma sana,