Usifikirie kuoa mrangi hata siku moja!

Usifikirie kuoa mrangi hata siku moja!

Status
Not open for further replies.
Kabila ambalo limebaki bila scandal ni Wasukuma tu. Ngoja niende Shinyanga.

Ooooh! mama yangu unajidanganya mkuu kama unataka kuoa msukuma nenda mwanza. Wanyantuzu wana sifa za kifedhuri baraaa!
Usishangae ipo siku atakuachia kichanga/watoto ndani na yeye kutoloshwa. Wanazuzuka na hela hao na niwepesi kurubuniwa kwasababu ya ushamba wao.
Mimi ni asili yangu huko na kama unataka kuelezewa vijitabia vya dadazetu kanda ya ziwa basi kwangu umefika.
Kwa taarifa tu ni kwamba wajita na wakerewe tabia zao hazipishani na wazigua!
 
Angalizo tunaposema wanawake ni shida lazima na sisi tujitathmin vilivo, mkuu siku hz asilimia kubwa ya wanawake ni shida tupu ukienda moshi, mwanga, makanya kule hadi ndungu uende babati ukienda bukoba njoo hyo singida panda mbeya , iringa, songea kwa wamatengo na wangoni hapa dar ndo kabisa hata meatu na bariadi yani kila eneo nimepita lkn hawakatai kabsa japo sio wote cjui kwa nini

duuuuh we ni mtafiti
 
mimi nadhani walio keketwa hawana stimulated!!!

Ndo kisa cha wao kutafta migegedo design tofauti ili walidhishwe kufikia ogazm!
Fanya uchunguzi utakugundua hilo kwa wagogo,wambulu,warangi,wanyaturu,wakurya,wazigua and the like! wote mama huruma wale!
 
Ooooh! mama yangu unajidanganya mkuu kama unataka kuoa msukuma nenda mwanza. Wanyantuzu wana sifa za kifedhuri baraaa!
Usishangae ipo siku atakuachia kichanga/watoto ndani na yeye kutoloshwa. Wanazuzuka na hela hao na niwepesi kurubuniwa kwasababu ya ushamba wao.
Mimi ni asili yangu huko na kama unataka kuelezewa vijitabia vya dadazetu kanda ya ziwa basi kwangu umefika.
Kwa taarifa tu ni kwamba wajita na wakerewe tabia zao hazipishani na wazigua!
Duh wazigua wanatabia gani mdau? nina mchumba wa kizigua asee embu saidia kwa hili.
 
pole kaka ......ukiwa mjanja kuchapiwa ni siri ya ndani.............:flypig::juggle::A S 465::A S 465:
 
yaani wee mwenye mzigua ndo umeliwa pooole saaana afadhali hata hao warangi
 
kwa hiyo waolewe na nani sasa mkuu
mimi nadhani tabia sio kabila bali ni mtu hivo kusema warangi si wa kuoa umefanya collective liability ambapo ukifanya hata utafiti bado utaona kuwa si kweli ulichosema

ila pole kwa kutendwa mkuu

Habarini za usiku wanajf,,kwa kweli nimefika hapa kuwahabarisha wanaume wenzangu,,katika maisha yetu tusifikirie kuoa msichana wa kirangi maana hata umpe kila kitu na umgegede vipi mwisho wa siku atakusaliti tu,,tena siyo na mtu mmoja,,ukiweza tu kuingia nae chumbani msichana wa kirangi basi umeshamgegeda labda ushindwe wewe,,yamenikuta jamani,,sitaki yamkute mwanaume mwenzangu maana kugongewa inauma sana,,,
 
mkuu mm nimetoa tahadhari na maneno yangu siyo sheria,,ila sitaki kuona mwanaume mwenzangu anagongewa mke,,bora mm nimegongewa mpenzi tu,,,cha ajabu kuna mwanajamii forum humu humu tumeshare nae
 
sijajua tatizo lao linatokana na nini hawa viumbe,,,,kuwa huwa wanawashwaaa au???maana kma FGM wamefanyiwa wengi tu
 
mkuu mm nimetoa tahadhari na maneno yangu siyo sheria,,ila sitaki kuona mwanaume mwenzangu anagongewa mke,,bora mm nimegongewa mpenzi tu,,,cha ajabu kuna mwanajamii forum humu humu tumeshare nae

advantages of sosho netiweks
 
Habarini za usiku wanajf,,kwa kweli nimefika hapa kuwahabarisha wanaume wenzangu,,katika maisha yetu tusifikirie kuoa msichana wa kirangi maana hata umpe kila kitu na umgegede vipi mwisho wa siku atakusaliti tu,,tena siyo na mtu mmoja,,ukiweza tu kuingia nae chumbani msichana wa kirangi basi umeshamgegeda labda ushindwe wewe,,yamenikuta jamani,,sitaki yamkute mwanaume mwenzangu maana kugongewa inauma sana,,,

kweli kabisa
 
mmh.sasa sijui nivuke boda nikajaribu kwa nchi jirani maana kila napogusa naambiwa nimekosea.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom