Usifikirie kuoa mrangi hata siku moja!

Usifikirie kuoa mrangi hata siku moja!

Status
Not open for further replies.
We utakuwa ni Masai tu,huna jipya,jaribu kufanya reseach kabila wanaloondoka kwa ukimwi ni lipo ndipo utakuwa na jibu
 
Kiukweli hata mm nlikutana na demu fulani hivi wa kirangi, yani nmekutana nae, kesho yake akaja nyumbani siku hiyoyo nikamgonga. Baada ya mwezi hivi nikawa naona kila mara kasimama na jamaa nikimuuliza ananiambia kakaake, lkn kwa kuwa sisi wanaume tumejaaliwa akili za ziada na Mwenyez Mungu, nikagundua tu kuwa yule ni jamaa yake, kilicho fuata nikasikia anaolewa, na muoaji ni yule jamaa niliye ambiwa ni kaka,tena ni kajamaa coz kalikuwa kadogo. Ile ndoa haijachukua hata mwaka demu kasharudi nyumbani na chanzo cha kuachana sijajua. Sitaki kuamin kama warangi wote wako hivyo lkn huo ndo mfano wangu na mm kwa leo..!
 
Bahati yako mwanamke ingekuwa mwanaume ningekuambia jaribu kuwa na binti wa kirangi uishi nae hata mwezi kwako.
Kuanzia bodaboda,bajaji makonda majirani mango,fundi garage,mfunga startimes atawamaliza.
Ni noma sana hao watu
ofcz yes! Afu in additional to that ni wachoya hatar..refer to ma-ex aunt..alimtesa sana my uncle
 
Da! bac mi nawatamani hao raia kinoma,nmechoshwa na wasukuma full kugongana tarehe.
 
Aisee nimemkumbuka my high school girlfriend,tatizo ni vigumu sana kubaini anakucheat na mara nyingi nikimwona na mtu atasingizia ndugu tu
 
Sio ww tu mkuu dem wa kirangi ukiona mwanaume anafika kwako kila siku na kuongeya kirangi juwa maumivu hapo atagegedwa hadi ujekuwambiwa uliokuwa unaambiwa kaka ni kaka kakuumiza kamgegeda mkeo adi mwosho hawafai wa rangi
 
Angalizo tunaposema wanawake ni shida lazima na sisi tujitathmin vilivo, mkuu siku hz asilimia kubwa ya wanawake ni shida tupu ukienda moshi, mwanga, makanya kule hadi ndungu uende babati ukienda bukoba njoo hyo singida panda mbeya , iringa, songea kwa wamatengo na wangoni hapa dar ndo kabisa hata meatu na bariadi yani kila eneo nimepita lkn hawakatai kabsa japo sio wote cjui kwa nini
 
Nadhani tukiacha michepuko watatulia lkn ni shida miili hii hapana
 
Aisee nimemkumbuka my high school girlfriend,tatizo ni vigumu sana kubaini anakucheat na mara nyingi nikimwona na mtu atasingizia ndugu tu

there you are bro,,hauwezi kugundua kirahisi,,kama huyu wangu alikuwa ana mahaba mpaka naogopa,,ilinibidi nifanye umafia kugundua uchafu wake,,,mwanamke kagongwa na wanaume zaidi ya 8
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom