Usifikirie kuoa mrangi hata siku moja!

Usifikirie kuoa mrangi hata siku moja!

Status
Not open for further replies.
Warangi siyo watu wa Singida mkuu, wale ni wa Dodoma. ila hata singida kuna kabila linaitwa WANYATURU, hawa watu ni balaa. Wana tabia zinazofanana na Warangi kama alivyoeleza mleta mada na pia wanapenda kuendesha wanaume, ushirikina na ni wajeuri, kiburi, dharau na kujisikia SIJAPATA kuona. Yamenikuta hayo ndiyo maana nasema na baada ya kunikuta nikaanza kufuatilia, nikagundua wengi sana wanalalamika kuhusu hilo kabila na warangi pia

hapa umesema ukweli mtupu kuhusu wanyaturu
 
Kaka nilikuwa naogopa kufunguka lkn umepatia wewe, huo ushirikina mkuu nilikimbilia kanisani,dharau,kiburi na mimi ukizingatia ngosha navyopenda totoz nyeupe mbona nilikaribia kufa,sasa najipanga natafuta mweusi kupita mimi nishapata allergy ya totoz nyeupe
 
kama ulikuwepo ,mwenyewe nilipata kitoto cha kirangi cheupe kibichi nimekilipia ada ya chuo grade A nikifightia kipangwe dar,,lakini kilichokuja kunifanyia namwachia mungu,,watu wamegonga tena kirahisi sana

Pole sana kaka. Mrangi na mnyaturu ni mtu na mdogo wake. Ule weupe wao wanaufanya kitega uchumi, maana wanaume tulio wengi tunapenda totoz nyeupe.
 
Kaka nilikuwa naogopa kufunguka lkn umepatia wewe, huo ushirikina mkuu nilikimbilia kanisani,dharau,kiburi na mimi ukizingatia ngosha navyopenda totoz nyeupe mbona nilikaribia kufa,sasa najipanga natafuta mweusi kupita mimi nishapata allergy ya totoz nyeupe

Pole sana, mimi nilioa mnyatu mbona nilikimbia mbio bila kupenda na kumwachia kila kitu. Huwezi amini kuna jamaa yangu naye yalimpata hayohayo kwa mnyatu pia. Wanafanya weupe kama mtaji wao. Nimeoa mweusi kama mimi naishi maisha mazuri kwa sasa mpaka nasema nini kilinipoteza kwa hawa watu
 
Jamani sisi wengine tumeoa Wamakonde.Kuna wadau wamesema kuoa hilo kabila ni sawa na kuingiza kichwa kwenye mzinga wa nyuki au kumbusu mamba shavuni,je kuna ukweli wowote wadau?au tunarushana roho?
 
Jamani sisi wengine tumeoa Wamakonde.Kuna wadau wamesema kuoa hilo kabila ni sawa na kuingiza kichwa kwenye mzinga wa nyuki au kumbusu mamba shavuni,je kuna ukweli wowote wadau?au tunarushana roho?
Duh, pole sana. ilikuwaje ukaoa mmakonde aise..yaani akikwambia anaenda kusalimia kwao basi anaenda kuolewa tena. workmate wangu anawapenda maana hawana uchoyo....akina Somoe.
 
Hahaha!! haya mambo ya makabila sasa yanavuruga kama hati ya Muungano...kuna mwingine naye aliniambia usije jaribu oa kabila la wachaga ndugu yangu utakuja jutia..sasa kabila sahihi ni lipi?
 
Mh aisee we my sweet una maneno kweli kweli

Bahati yako mwanamke ingekuwa mwanaume ningekuambia jaribu kuwa na binti wa kirangi uishi nae hata mwezi kwako.
Kuanzia bodaboda,bajaji makonda majirani mango,fundi garage,mfunga startimes atawamaliza.
Ni noma sana hao watu
 
Duh, pole sana. ilikuwaje ukaoa mmakonde aise..yaani akikwambia anaenda kusalimia kwao basi anaenda kuolewa tena. workmate wangu anawapenda maana hawana uchoyo....akina Somoe.

Nani kakuambia mimi ni mmakonde? ebu chika adamu yako:baby::baby:
 
Pole sana kaka. Mrangi na mnyaturu ni mtu na mdogo wake. Ule weupe wao wanaufanya kitega uchumi, maana wanaume tulio wengi tunapenda totoz nyeupe.
mna uatani na watani zangu nyie! vipi na Wahaga au Wapare weupekwani nao si haba nao ni kama Warangi
 
kwa mada hii uliyoleta unamshauri nini DIAMOND PLATNUMZ BABYYY kuhusu kumuwoa WEMA MAAADAAAM SEPETU?

ni hayoooooooooi tuuu
 
Hahahahaha nimecheka sana kwa mada hii asee...warangi siwezi kuwasema vibaya hata km kuna ukweli kwa yasemwayo. Mrangi mmoja alinifanyia jambo jema sana hadi sasa ninajiuliza nitamfanyia nini km shukrani. All in all kabla hujavuka mto jaribu kuyapima maji, tena maji hayapimwi kwa mguu eehh
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom