nimecheka maana kuna mtu kagundua kuwa anachapiwa mrangi wake najua sasa wapo PM wanawasiliana duh jf kiboko
Hizi story za humu bana, jamaa alitaka kuwekeza kabisa
yameshanikuta kwa kutaka kuoa mtoto wa kirangi. Mrembo full maadili swala 5 lakn wapiii..jasiri haachi asili. Nilivyokuja kujua nilimshushia hasira za kijita hadi leo tukikutana hamna salamu. niliambiwa nikabisha ila nikaja kujionea mwenyewe.
ndo hivyo ila nahisi atakuwa keshajua tayari kuwa hayo yapo kila sehemMleta mada kafulia,anachukua wanaofanya biashara anahusisha kabila zima inahuuuuuuu!
Kabila ambalo limebaki bila scandal ni Wasukuma tu. Ngoja niende Shinyanga.
mada nyengine zinakera jamani, kwa nini muanze kusema kabila za watu? Mara sijua watoto walolelewa na mzazi mmoja, tatizo nini? Wewe mtoa mada taja kabila lako tuanze kukuchambua sifa zako mbaya. Wabaya wapo na wazuri wapo so ts simple tu kama umekutana na mbaya achana nae na saka mwengine na siyo kuchafua kabila za watu
Mijitu mizima hovyooo,we mleta mada kama unachukua wa kona bar usijumuishe kabila Zima,na hakuna kabila lisilopenda mboo na k,umalaya ni tabia ya mtu na c kabila,mtuwache tupumue,,warangi warangi nyooooh,mungu kutujalia mvuto imekua tabu,acheni ukabila
ahaaaa utakuwa mrangi ww,,ungejua wala usingeandika ulichoandika,,nadhani hauwajui warangi vizuri,,,ningekupa story ya huyu mtoto na hata wanaomfahamu hawaamini kama kawa hivi,,
Mkuu maadili yepi unayozungumzia kama aliweza kutembea na mtu mwingine?
Sent from my iPad using JamiiForums mobile app
basi ngoja tuhamie kwa wakurya
hahahahahhhahahaha, so you be doing a fever right? Haya bhana. Niko nadefend kabila la mtu nimpendae na kumuheshim zaid ya wote.Tuliza munkari Bibie....wewe hata kama ni mrangi ntakuoa