Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 87,295
- 150,670
Ukishaamini Mungu tu, huyu muweza yote, mjuzi wa yote, mwenye upendo wote, wale wa Mwamposa hutakiwi kuwacheka.Tanzania kweli kuna watu wana imani, sasa sijui imani sijui matatizo au ni ujinga duuuuh ule umati wa kwa mwamposa hatari
Maana kimsingi huna tofauti nao.