Passport yangu inakaribia kujaa mkuu...! Kitu ninacho zungumza Nina kiishi hivi sasa...!
Kumbe hilo ndio tatizo lako,now nimeelewa tatizo lako ni nini hasa,

JF ni pana sana ila unajiaminisha kua ni wewe tu ndio umesafiri sana! maisha hayana formula,failure zako haziwezi kua ndio failure za wengine,unaweza kua ni kweli umezunguka ila umekosa exposure,mizunguko yako imeshindwa kubadili mindset yako.
 
Unae ndugu au jamaa anae fanya kazi nje ya Tanzania...?
Mkuu acha kukariri maisha,kumbe huu uzi wako umeuleta ukijiaminisha kua hapa JF hakuna watu wanaopiga kazi abroad! kajipange upya,bado hujayajua maisha na hujawajua watu wa JF,

JF ina watu kutoka nchi mbalimbali tambua hilo kwanza,JF sio kijiji cha watu wanaoishi eneo moja.
 
Sio rahisi kama unavyo dhani...! Ila kwasababu umeshaamua karibu Mimi nitakuwa mpenzi mtizamaji...!

Upinzani uliopo UGHAIBUNI ni mkubwa mno...!
Kila penye riziki kuna upinzani wa hali ya juu. Uoga wako ndo umasikini wako. Mimi nashauri vijana tafuteni passport muondoke mkatafute maisha popote nje ya mipaka ya taifa letu.

By the way siku zote tambua; Siyo kila masikini ni mvivu na siyo kila tajiri anafanya kazi sana.
 
Watu wengi wanapenda kukariri kuwa maisha ni lazima ufanye hivi au vile, bila kuelewa au kukubali kuwa kati ya hivi na vile kuna njia nyingi tofauti zinazoweza kuwafaa watu tofauti walio katika hali tofauti za kiuchumi, kielimu, kiunri, etc.

Yani wanataka watu woote wafanye sawa kama ng'ombe wanaoswagwa na kwenda bila kufikiria.
 
h

"Ajira haiwezi Ku kufanya kuwa tajiri" Are you serious!? Kuwa, tajiri ni mchakato, it's a process not an event, ila ajira inaweza kuwa chanzo cha utajiri,
Kuna kampuni inaitwa, maktech, ipo Africana, mwenye kampuni alikuwa engineer Wa voda, early 2000+! Akaona fulsa, akiwa kazini, akajenga network, anatoka voda, akaanzisha kampuni, na mteja wake mkubwa akawa voda! The rest is history, unsposema ajira haiwezi, Ku kufanya kuwa tajiri, fafanua, kama ni ajira ya Tsh 300K kwa mwezi sawa! Lakini unapokea 9M take home, usiwe tajiri! Je mwanyika(mbunge Wa, njombe) aliyekuwa akipokea 100M kwa mwezi sio tajiri!?
Pls pls bro usilinganishe USA na Bongo kuhusu ajira! Nix kama ardhi na mbingu, bongo nafasi 14000 za, unlimited, wanaomba laki mbili!? Ubalozi Wa TZ USA, umeajiri watu wangapi raia Wa USA, linganisha na idadi ya Wa bongo walioajiliwa US Embassy Dar!
Ughaibuni kuna lipa Sana,
Sio kila mtu anataka kuwa kama Bakheresa, Mo au shabiby! Hata USA eron musk ni mmoja tu!
Ukitaka kuwa tajiri kama Dangote utakufa kihoro! Babu Wa Dangote alikuwa na private jet 1977!
 
Msaada
 
Safi Sana. Kwa tuliojaribu kuishi ughaibuni tunakuelewa. Binafsi huwa ninahesabu nilipoteza miaka kumi kuishi maisha ya maigizo ughaibuni wakati pesa zipo bongo, bongo panahitaji kutuliza akili Tu pesa ni nyingi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…