Watu wa namna hiyo ni watu wenye hasira sanaKuna ile hasira unakua nayo ukiwa huna hela! Ndo kinachomtesa mwamba
Njoo Pm tujadili kidogo mambo ya buchosa.seems una depression kali...pole..pambana..waachie dar yao mkuu..we rudi kwenu Buchosa
Ungemjibu uyo aliekuambia uhameMwaka 2017 tuliambiwa tuhame
Kamuulize yeye mwenyeweMkuu kwani Mwamposa alifikaje Dar? Ramani alikuja nayo au ali ikuta Dar?
Sio mawinga tu. Ajira zisizo rasmi zote ambazo zimebeba asilimia kubwa ya vijana mfano bodaboda, machinga, baamedi n.k wengi njaa kali kidogo izo za kike kama baamedi na wasaidizi wa mama lishe wanajiongeza kwa kufanya ukahaba.Izi story za mawinga mnadanganywa sana wengi wana njaa tu
Wewe ni kilazaJitafakari alafu uwangalie nani ni huyo unayomsema
"Watakucheka watuu"
Wewe ni mjingaJamaa kasema mimi ni mjinga, kumbe anamatatizo ya afya ya akili
Naona kisu kimepiga kwenye mfupa. Meacha kushambulia hoja mnamshambulia mtoa hoja. Jikite kwenye hoja mkuu kipi nilichopotosha, ni uongo kwamba vijana hapo dar wana hali ngumu ila wana-fake maisha? ni uongo kwamba watoto wa kike wameufanya ukahaba kuwa ajira hapo dar?Kuna ile hasira unakua nayo ukiwa huna hela! Ndo kinachomtesa mwamba
Nchi hii wanaoishi ni wachache sana. Huko mikoani napo kuna athari zake na mara nyingi pia ukijitafuta eneo ulipozaliwa ni ngumu kutoboa. Tofauti na ukienda ugenini maana hakuna kujuana kiasi aibu haipoNdio maana nikasema pambana kwenye mji uliouzoea ukikwama ni rahisi kurudisha mpora kwa kipa na kujipanga upya kama ukiamua kwenda mbali uwe na mpango madhubuti ujue unafikia wapi ujue unaanza na kazi gani itakua vzr pia uwe na akiba kidogo mambo yakiwa sio mambo. Dar watu wanaishi ila ni percent ndogo sana ukilinganisha na wanaotaabika.
Huo ni kweli labda mmetofautiana strategies tu. Kuna wanaojiuza directly mitandaoni, kumbi za starehe, barabarani n.k na kuna wanaojiuza indirectly kupitia mahusiano ya kimapenzi wengine wanaingia mpaka kwenye ndoa ila target yao ni maokoto. Hata wewe mwanaume akikutongoza lazima uangalie msuli wake kiuchumi upo vipi kwa mategemeo ya kupata financial benefits hapo ni sawa tu na kujiuza indirectly
Hizi story ndio zimesababisha wengi sasa hivi wanalala stendi za mabasi na watoto wa kike wanafumuliwa malinda ili wale na kupendeza hapo darRamani za uhakika zinapatkn dar kikubw nikunyumbulika
Dar unawez fk huna chochote ila ukapata kpato
Mkoan ni ngumu kias
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nimeingia Dar mwezi huu lakini sitamani tena kutoka! Naona ka mshahara kangu ka 4.5m kananitosha kabisa!
Ni ukweli mkuuNaona kisu kimepiga kwenye mfupa. Meacha kushambulia hoja mnamshambulia mtoa hoja. Jikite kwenye hoja mkuu kipi nilichopotosha, ni uongo kwamba vijana hapo dar wana hali ngumu ila wana-fake maisha? ni uongo kwamba watoto wa kike wameufanya ukahaba kuwa ajira hapo dar?
Marioo- Dar kugumuHizi story ndio zimesababisha wengi sasa hivi wanalala stendi za mabasi na watoto wa kike wanafumuliwa malinda ili wale na kupendeza hapo dar