Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,545
- 49,420
Dar es salaam kuwa tahira ni kitu kidogo tu
Acha kuwatia wenzako gundu.Mbona mimi nimekuja bila ramani na sasa nadunda ndani ya jiji?
Wewe njoo tu Kikubwa usiwe mbabaishaji kwenye jiji la watu.
Kwa ufupi uaminifu.
Kwani niuongo ukumsikia Gigy money.😀😀Hapo watoto wa kike wanategemea kunini.. aisee tunashukuru kwa kututukana😪
Nasikitika sana kuona vijana wanalala kwenye vibaraza vya fremu za maduka yakifungwa, watoto wa kike wanapewa pombe na kupelekwa gesti/magetoni wakiwa hawajitambua na kuishia kuingiliwa kinyume na maumbile. Vijana wanaishi maisha ya kubangaiza wakati wangebaki uko kwao mikoani wangeishi vizuri tuDuuuhhh.......umetema sana cheche mjomba, vp kuna jambo lolote limekukuta kaka!!!????
Ingawa kuna ka ukweli in between
Kivp mkuuDar es salaam kuwa tahira ni kitu kidogo tu
Ila dar palinishinda hasa jambo la usafiri.Nasikitika sana kuona vijana wanalala kwenye vibaraza vya fremu za maduka yakifungwa, watoto wa kike wanapewa pombe na kupelekwa gesti/magetoni wakiwa hawajitambua na kuishia kuingiliwa kinyume na maumbile. Vijana wanaishi maisha ya kubangaiza wakati wangebaki uko kwao mikoani wangeishi vizuri tu
[emoji3][emoji3][emoji3] nina mwanangu winga maisha tunayoishi ndio haya haya tu, nikisikiaga story eti winga anapiga laki per day naishia kucheka tu. Laki kwa siku ni ni milioni 3 kwa mwezi kibongo bongo ni mshahara wa boss wa taasisi kubwa tu.Mkuu tuondoe mawinga kwenye uzi wako please[emoji1787]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mkuu umejiandaa na matusi ya wala mihogo na Mo energy?
mdangaji mwingine uyo hapaseems una depression kali...pole..pambana..waachie dar yao mkuu..we rudi kwenu Buchosa
Wapo wanaoishi peponi wakiwa Dar ila ni asilimia ndogo sana ukilinganisha na wanaotaabikaKwa kweli dar ni nzuri na ina ufahari wote wa nchi hii. Dar ndiyo Tanzania yenyewe kila raia wa nchi hii anapaswa kufika dar kuona utukufu wa nchi hii. Ila kama huna ramani utataka kurudi haraka sana ulikotoka, kila kitu ni gharama tu, usafiri wenyewe utakuchosha kwenda na kurudi kibaruani mshahara wote unaweza kuishia kwenye usafiri tu
Huo ni kweli labda mmetofautiana strategies tu. Kuna wanaojiuza directly mitandaoni, kumbi za starehe, barabarani n.k na kuna wanaojiuza indirectly kupitia mahusiano ya kimapenzi wengine wanaingia mpaka kwenye ndoa ila target yao ni maokoto. Hata wewe mwanaume akikutongoza lazima uangalie msuli wake kiuchumi upo vipi kwa mategemeo ya kupata financial benefits hapo ni sawa tu na kujiuza indirectlyHapo watoto wa kike wanategemea kunini.. aisee tunashukuru kwa kututukana[emoji25]
Wajaze upepo wenzako wakimbilie Dar waishie kulala stendi za mabasiMbona mimi nimekuja bila ramani na sasa nadunda ndani ya jiji?
Wewe njoo tu Kikubwa usiwe mbabaishaji kwenye jiji la watu.
Kwa ufupi uaminifu.
Motivesheni spika katika ubora wake wa hali ya juu kabisa.Acha uoga wewe njoo hapa Vingunguti tuuze matikiti na mananasi. Kipande miambili kwa jero hukosi liteni kwa siku. Mnakuja mjini hamjasoma halafu mnachagua kazi.
Nyie ni waongo tu. Story kama zako sio mara ya kwanza kukutana nazo. Kuna jamaa aliniletea sound kama hizi, kuna mishe ilinipeleka dar nikasema ngoja nimcheki mwamba akaanza siasa. Nina uhakika nikija pm unipe ramani za huo mchongo hapo vingunguti utaishia kuleta blah blah tuAcha uoga wewe njoo hapa Vingunguti tuuze matikiti na mananasi. Kipande miambili kwa jero hukosi liteni kwa siku. Mnakuja mjini hamjasoma halafu mnachagua kazi.