Usiende Dar kama hauna ramani ya uhakika

Sawa wasiende dar bila ramani Ila Wapi huko wanatakiwa kwenda na kufanikiwa bila ramani mkuu

Kuna mkoa utaenda tu kwa kuvamia na kufanikiwa chap bila kupitia ugumu flani mwanzoni??..

By the way mkuu kuna watu Dar wanaishi bhana, si kila mtu Dar anateseka
Ndio maana nikasema pambana kwenye mji uliouzoea ukikwama ni rahisi kurudisha mpora kwa kipa na kujipanga upya kama ukiamua kwenda mbali uwe na mpango madhubuti ujue unafikia wapi ujue unaanza na kazi gani itakua vzr pia uwe na akiba kidogo mambo yakiwa sio mambo. Dar watu wanaishi ila ni percent ndogo sana ukilinganisha na wanaotaabika.
 
Story unazosikia wanajitamba nazo watu wa Dar sio kweli, story unazozisikia kutoka kwa motivational speakers wa Dar sio za kweli na usije ukajidanganya siku ukaenda Dar baada kuahidiwa msaada wa kupata kazi au makazi na mtu wa Dar nakuambia utatelekezwa stendi na mabegi yako.

Wakazi wa Dar asilimia kubwa wanaishi maisha magumu. Wenye ajira rasmi wameandamwa na madeni mshahara ukitoka hauchukui round ushaisha, vijana wa kiume wamejiingiza kwenye kubet huku vijana wa kike wamejiingiza kwenye umalaya yaani kujiuza siku hizi wanasema kudanga.

Wanaona noma kurudi mikoani wamebaki Dar vijana wa kiume wanashindia mihogo na mo energy siku nzima huku watoto wa kike wakitegemea kutombwa ndio wapate hela ya kula na kuvaa. Kujipa relief ya moyo wanaamua kujisifia kwa vitu ambavyo sio vyao.

Utasikia Dar kuna magorofa mengi, muulize kati ya hayo magorofa wewe unamiliki mangapi?, utasikia Dar makazi ya matajiri wengi muulize kati ya hao matajiri wengi na wewe ni mmoja wapo?, atakwambia Dar magari mengi, muulize kati ya hayo magari mengi wewe unayo mangapi?

Story unazosikia sijui winga kariakoo anapiga mpaka laki kwa siku, bodaboda analaza 40k kwa siku, muuza chipsi anapiga faida ya 80k kwa siku n.k izo story zote sio za kweli hao bodaboda, wauza chipsi, mawinga, wamachinga n.k wote ni washkaji zetu hali zao tunazijua wangekua wanapiga izo figure zinazotajwa maendeleo yao si tungekua tunayaona.

Dada angu, kaka yangu, mdogo angu pambana na hali yako hapo hapo kwenye mjini ulioyazoea ukiamua kwenda Dar akikisha una mpango madhubuti sio kukulupuka kwa kuamasishwa na story ulizosikia kutoka kwa watu wa Dar, hao jamaa ni waongo tu ukiwasikiliza unaweza ukafikiri umechelewa sana kimaisha kumbe kiuhalisia they are living worst life than yours.

Dar is tough if you don't have connection for a job and accomodation then don't move at that side.
Kuna kitu kinaitwa autosuggestion, jamaa anajaribu ku suggest fear, poverty kwa ku plant kwenye mindset za vijana wanaotaka kuja Dar. Wewe kama kijana ukijawa hofu tayari ume create demon kwenye ubongo wako na lazima akumalize.

Hakuna ugumu wowote dunia hii kama ukiamua kufanya jambo lolote, vijana katibuni Dar na muanze kutafuta futures zenu
 
Dar kila mtu tapeli
 
Nimepitia threads zako nikakosa Cha kucomment....una changamoto kubwa sana rafiki yangu jaribu kutafuta channel ya pesa la sivyo kila kinachofanywa na watu ili siku zisonge unaona kama wanapretend
Shambulia hoja usimshambulie mtoa hoja. Changamoto kila mtu anazo. Izo threads ni topics nyingine na thread hii ni topic nyingine.
 
Kuna kitu kinaitwa autosuggestion, jamaa anajaribu ku suggest fear, poverty kwa ku plant kwenye mindset za vijana wanaotaka kuja Dar. Wewe kama kijana ukijawa hofu tayari ume create demon kwenye ubongo wako na lazima akumalize.

Hakuna ugumu wowote dunia hii kama ukiamua kufanya jambo lolote, vijana katibuni Dar na muanze kutafuta futures zenu
Unajifanya una akili ila kiuhalisia wewe ni kilaza. Kichwa cha habari tu kimasema usiende Dar kama hauna ramani. Hao vijana unaowakaribisha dar utawapa kazi? Utawapa sehemu ya kulala?
 
Nyie ni waongo tu. Story kama zako sio mara ya kwanza kukutana nazo. Kuna jamaa aliniletea sound kama hizi, kuna mishe ilinipeleka dar nikasema ngoja nimcheki mwamba akaanza siasa. Nina uhakika nikija pm unipe ramani za huo mchongo hapo vingunguti utaishia kuleta blah blah tu
Hakuna cha kuja PM mimi nakupa mchongo hapa hapa.
 
[emoji3][emoji3][emoji3] nina mwanangu winga maisha tunayoishi ndio haya haya tu, nikisikiaga story eti winga anapiga laki per day naishia kucheka tu. Laki kwa siku ni ni milioni 3 kwa mwezi kibongo bongo ni mshahara wa boss wa taasisi kubwa tu.
Izi story za mawinga mnadanganywa sana wengi wana njaa tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom