Usiende Dar kama hauna ramani ya uhakika

Natafuta Ajira

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2020
Posts
14,243
Reaction score
40,253
Story unazosikia wanajitamba nazo watu wa Dar sio kweli, story unazozisikia kutoka kwa motivational speakers wa Dar sio za kweli na usije ukajidanganya siku ukaenda Dar baada kuahidiwa msaada wa kupata kazi au makazi na mtu wa Dar nakuambia utatelekezwa stendi na mabegi yako.

Wakazi wa Dar asilimia kubwa wanaishi maisha magumu. Wenye ajira rasmi wameandamwa na madeni mshahara ukitoka hauchukui round ushaisha, vijana wa kiume wamejiingiza kwenye kubet huku vijana wa kike wamejiingiza kwenye umalaya yaani kujiuza siku hizi wanasema kudanga.

Wanaona noma kurudi mikoani wamebaki Dar vijana wa kiume wanashindia mihogo na mo energy siku nzima huku watoto wa kike wakitegemea kutombwa ndio wapate hela ya kula na kuvaa. Kujipa relief ya moyo wanaamua kujisifia kwa vitu ambavyo sio vyao.

Utasikia Dar kuna magorofa mengi, muulize kati ya hayo magorofa wewe unamiliki mangapi?, utasikia Dar makazi ya matajiri wengi muulize kati ya hao matajiri wengi na wewe ni mmoja wapo?, atakwambia Dar magari mengi, muulize kati ya hayo magari mengi wewe unayo mangapi?

Story unazosikia sijui winga kariakoo anapiga mpaka laki kwa siku, bodaboda analaza 40k kwa siku, muuza chipsi anapiga faida ya 80k kwa siku n.k izo story zote sio za kweli hao bodaboda, wauza chipsi, mawinga, wamachinga n.k wote ni washkaji zetu hali zao tunazijua wangekua wanapiga izo figure zinazotajwa maendeleo yao si tungekua tunayaona.

Dada angu, kaka yangu, mdogo angu pambana na hali yako hapo hapo kwenye mjini ulioyazoea ukiamua kwenda Dar akikisha una mpango madhubuti sio kukulupuka kwa kuamasishwa na story ulizosikia kutoka kwa watu wa Dar, hao jamaa ni waongo tu ukiwasikiliza unaweza ukafikiri umechelewa sana kimaisha kumbe kiuhalisia they are living worst life than yours.

Dar is tough if you don't have connection for a job and accomodation then don't move at that side.
 
Kwa kweli dar ni nzuri na ina ufahari wote wa nchi hii. Dar ndiyo Tanzania yenyewe kila raia wa nchi hii anapaswa kufika dar kuona utukufu wa nchi hii. Ila kama huna ramani utataka kurudi haraka sana ulikotoka, kila kitu ni gharama tu, usafiri wenyewe utakuchosha kwenda na kurudi kibaruani mshahara wote unaweza kuishia kwenye usafiri tu
 
Dar Ni mji mwepes sans kuishi kila biashara unapiga pesa

Mm Niko mikoani ddoma natumia akili za dar kuishi dodoma nateleza tu kikubwauwe na taarifa ya kila biashara na upstiksnaji wake
 
Kwa kweli dar ni nzuri na ina ufahari wote wa nchi hii. Dar ndiyo Tanzania yenyewe kila raia wa nchi hii anapaswa kufika dar kuona utukufu wa nchi hii. Ila kama huna ramani utataka kurudi haraka sana ulikotoka, kila kitu ni gharama tu, usafiri wenyewe utakuchosha kwenda na kurudi kibaruani mshahara wote unaweza kuishia kwenye usafiri tu
Juzi naelekea zangu kariakoo natoa buku ikarudi 400. Kumbe nauli zishapanda.
Nishazoea buku naenda na kurudi leo hii haitoshi.
 
Back
Top Bottom