Usiende Dar kama hauna ramani ya uhakika

Dar es salaam ndio kuna michongo mingi na ya maana japo competition ni kubwa ila fursa zipo nyingi sana za kutosha , Tofauti na mikoani. Mikoani kuna baadhi ya vitu hata watu kukuelewa tu hawakuelewi..

Wee fikiria tu mtu aliyepo mkoani ili aridhike kuwa amenunua kitu ni lazima kitokee dar, Mfano kitu kama gari, Hata kama ni la mkononi, likitoka dar ndio anaridhika.

Vijana wacheni uwoga na kushawishiana ujinga bado fursa nyingi zipo dar ila sio lazima kukaa hapahapa Dar maana kwa sasa dunia ni kijiji, so unaweza ukawa zako huko kijijini kwenu na ukakamilisha mambo kibao ukiwa hukohuko tena mambo ya huku dar.
Ni asilimia ndogo sana inatoboa ukilinganisha na asilimia kubwa inayotaabika ni vile tu wale wanaotoboa ndio story zao zinatrend sana kwaiyo tunaona kimaisha ndio ipo ivyo lakini kuna kundi kubwa zaidi ambalo linataabika sema story zao hazipewi airtime. Let say kati ya waamiaji 100 wa dar anatoboa mmoja kwaiyo story ya uyo mmoja itapewa airtime kubwa ila hao 99 waliolost hakuna atakawaongelea.
 
Story unazosikia wanajitamba nazo watu wa Dar sio kweli, story unazozisikia kutoka kwa motivational speakers wa Dar sio za kweli na usije ukajidanganya siku ukaenda Dar baada kuahidiwa msaada wa kupata kazi au makazi na mtu wa Dar nakuambia utatelekezwa stendi na mabegi yako.

Wakazi wa Dar asilimia kubwa wanaishi maisha magumu. Wenye ajira rasmi wameandamwa na madeni mshahara ukitoka hauchukui round ushaisha, vijana wa kiume wamejiingiza kwenye kubet huku vijana wa kike wamejiingiza kwenye umalaya yaani kujiuza siku hizi wanasema kudanga.

Wanaona noma kurudi mikoani wamebaki Dar vijana wa kiume wanashindia mihogo na mo energy siku nzima huku watoto wa kike wakitegemea kutombwa ndio wapate hela ya kula na kuvaa. Kujipa relief ya moyo wanaamua kujisifia kwa vitu ambavyo sio vyao.

Utasikia Dar kuna magorofa mengi, muulize kati ya hayo magorofa wewe unamiliki mangapi?, utasikia Dar makazi ya matajiri wengi muulize kati ya hao matajiri wengi na wewe ni mmoja wapo?, atakwambia Dar magari mengi, muulize kati ya hayo magari mengi wewe unayo mangapi?

Story unazosikia sijui winga kariakoo anapiga mpaka laki kwa siku, bodaboda analaza 40k kwa siku, muuza chipsi anapiga faida ya 80k kwa siku n.k izo story zote sio za kweli hao bodaboda, wauza chipsi, mawinga, wamachinga n.k wote ni washkaji zetu hali zao tunazijua wangekua wanapiga izo figure zinazotajwa maendeleo yao si tungekua tunayaona.

Dada angu, kaka yangu, mdogo angu pambana na hali yako hapo hapo kwenye mjini ulioyazoea ukiamua kwenda Dar akikisha una mpango madhubuti sio kukulupuka kwa kuamasishwa na story ulizosikia kutoka kwa watu wa Dar, hao jamaa ni waongo tu ukiwasikiliza unaweza ukafikiri umechelewa sana kimaisha kumbe kiuhalisia they are living worst life than yours.

Dar is tough if you don't have connection for a job and accomodation then don't move at that side.
Kubet hatuachi mkuu
 
Naunga 🤝.
 
Sio Dar tu usiende sehemu yoyote Kama huna connection ya kazi na makazi.
Wala usiende kwa mtu bila taarifa hata awe ndugu yako wa damu.
Ni kweli mkuu tatizo la watu wa dar wanaijaza jamii ujinga kiasi kwamba kwa mtu ambae hajawahi kufika dar anaweza kufikiri ukiwasili tu pale stendi ya magufuli fursa nje nje, wanaenda dar kichwa kichwa ndio hao wanaishia kubebeshwa madishi wauze mtu anazunguka mji siku nzima anaishia kupata buku mbili na nauli ya kurudi alipotoka hana.
 
Kwakifupi mpe heshima yake mtu anayeishi Dar mwaka ukaisha, wa pili nao ukakatika na watu na kuendelea. Huu mji unahitaji akil sana kuishi. Hapo sikazumgumzia sisi wenye family na hatujaajiriwa na wala sio wezi na bado hatushindii mihogo na Mo energy.
Dar is tough
 
Story unazosikia wanajitamba nazo watu wa Dar sio kweli, story unazozisikia kutoka kwa motivational speakers wa Dar sio za kweli na usije ukajidanganya siku ukaenda Dar baada kuahidiwa msaada wa kupata kazi au makazi na mtu wa Dar nakuambia utatelekezwa stendi na mabegi yako.

Wakazi wa Dar asilimia kubwa wanaishi maisha magumu. Wenye ajira rasmi wameandamwa na madeni mshahara ukitoka hauchukui round ushaisha, vijana wa kiume wamejiingiza kwenye kubet huku vijana wa kike wamejiingiza kwenye umalaya yaani kujiuza siku hizi wanasema kudanga.

Wanaona noma kurudi mikoani wamebaki Dar vijana wa kiume wanashindia mihogo na mo energy siku nzima huku watoto wa kike wakitegemea kutombwa ndio wapate hela ya kula na kuvaa. Kujipa relief ya moyo wanaamua kujisifia kwa vitu ambavyo sio vyao.

Utasikia Dar kuna magorofa mengi, muulize kati ya hayo magorofa wewe unamiliki mangapi?, utasikia Dar makazi ya matajiri wengi muulize kati ya hao matajiri wengi na wewe ni mmoja wapo?, atakwambia Dar magari mengi, muulize kati ya hayo magari mengi wewe unayo mangapi?

Story unazosikia sijui winga kariakoo anapiga mpaka laki kwa siku, bodaboda analaza 40k kwa siku, muuza chipsi anapiga faida ya 80k kwa siku n.k izo story zote sio za kweli hao bodaboda, wauza chipsi, mawinga, wamachinga n.k wote ni washkaji zetu hali zao tunazijua wangekua wanapiga izo figure zinazotajwa maendeleo yao si tungekua tunayaona.

Dada angu, kaka yangu, mdogo angu pambana na hali yako hapo hapo kwenye mjini ulioyazoea ukiamua kwenda Dar akikisha una mpango madhubuti sio kukulupuka kwa kuamasishwa na story ulizosikia kutoka kwa watu wa Dar, hao jamaa ni waongo tu ukiwasikiliza unaweza ukafikiri umechelewa sana kimaisha kumbe kiuhalisia they are living worst life than yours.

Dar is tough if you don't have connection for a job and accomodation then don't move at that side.
Yaani ni kawaida dar kukuta abiria kavalia vizuri lakini anamlia timing konda asilipe nauli yaani dar ukimkopesha mtu elfu 10 basi umeisha dar watu wanateseka sana yaani ukitoa elfu 10 kwenye gari kila mtu anakuangalia. Listen young guys we need financial freedom yaani ni rahisi mtu kutoka mkoani kuja na ndege kuangalia mechi ya Caf champions league na akalipia VIP ila bishoo wa dar akaruka ukuta hana hata elfu 5 ya orange guys we need financial freedom.
 
Utajamba cheche!
Sawa...
Kujamba 1.jpg
 
Ni asilimia ndogo sana inatoboa ukilinganisha na asilimia kubwa inayotaabika ni vile tu wale wanaotoboa ndio story zao zinatrend sana kwaiyo tunaona kimaisha ndio ipo ivyo lakini kuna kundi kubwa zaidi ambalo linataabika sema story zao hazipewi airtime. Let say kati ya waamiaji 100 wa dar anatoboa mmoja kwaiyo story ya uyo mmoja itapewa airtime kubwa ila hao 99 waliolost hakuna atakawaongelea.
Kwenye sensa mbona ilionyesha vijana wengi wa dar hawana kazi wanazurura tu mjini walitoa takwimu kwenye sensa.
 
Life likikuchapa utahira si chap tuu.
Mikoani matahira wake ni wa kurogwa, Dar es salaam matahira wake wamesababishiwa na hali ngumu ya maisha
Mbali na utahira watu wa dar wamepigwa na ukali wa maisha muda wote wapo na mihasira hasira tu yaani ni suala la kuguswa tu alipuke hata kwa jambo dogo tu. Kuna siku nimesimama ndani ya daladala imejaa kinoma nikamuomba jamaa aliekaa kwenye siti anisaidie kunishikia begi alinipiga jicho kali kinoma. Mambo hayo hauwezi kuyakuta mikoani ukiomba msaada wa vitu vidogo tu ivyo unasaidiwa kwa furaha kabisa
 
Naona kisu kimepiga kwenye mfupa. Meacha kushambulia hoja mnamshambulia mtoa hoja. Jikite kwenye hoja mkuu kipi nilichopotosha, ni uongo kwamba vijana hapo dar wana hali ngumu ila wana-fake maisha? ni uongo kwamba watoto wa kike wameufanya ukahaba kuwa ajira hapo dar?
Una ushahidi wa unayoyasema? Wadada wote wanafanya ukahaba?
 
Mbali na utahira watu wa dar wamepigwa na ukali wa maisha muda wote wapo na mihasira hasira tu yaani ni suala la kuguswa tu alipuke hata kwa jambo dogo tu. Kuna siku nimesimama ndani ya daladala imejaa kinoma nikamuomba jamaa aliekaa kwenye siti anisaidie kunishikia begi alinipiga jicho kali kinoma. Mambo hayo hauwezi kuyakuta mikoani ukiomba msaada wa vitu vidogo tu ivyo unasaidiwa kwa furaha kabisa
Mtu ana miaka 10 hajala kuku wa kienyeji, fanya masihara.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom