Usiende Dar kama hauna ramani ya uhakika

Usiende Dar kama hauna ramani ya uhakika

Ni kweli kabisa dar wengi tunaungua na jua ila tukienda mkoa mbususu tunazipanga foleni tena zile zinazosumbua wanakijiji
 
Dar watu wengi wanamaisha magumu sana.

Lakini dsm mzunguko wa fedha ni mkubwa sana ndy maana wajanja tunatusua hapahapa dar.
 
Ni kweli mkuu tatizo la watu wa dar wanaijaza jamii ujinga kiasi kwamba kwa mtu ambae hajawahi kufika dar anaweza kufikiri ukiwasili tu pale stendi ya magufuli fursa nje nje, wanaenda dar kichwa kichwa ndio hao wanaishia kubebeshwa madishi wauze mtu anazunguka mji siku nzima anaishia kupata buku mbili na nauli ya kurudi alipotoka hana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaani ni kawaida dar kukuta abiria kavalia vizuri lakini anamlia timing konda asilipe nauli yaani dar ukimkopesha mtu elfu 10 basi umeisha dar watu wanateseka sana yaani ukitoa elfu 10 kwenye gari kila mtu anakuangalia. Listen young guys we need financial freedom yaani ni rahisi mtu kutoka mkoani kuja na ndege kuangalia mechi ya Caf champions league na akalipia VIP ila bishoo wa dar akaruka ukuta hana hata elfu 5 ya orange guys we need financial freedom.
Mnapasua ukwelii tyuuuh, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mbali na utahira watu wa dar wamepigwa na ukali wa maisha muda wote wapo na mihasira hasira tu yaani ni suala la kuguswa tu alipuke hata kwa jambo dogo tu. Kuna siku nimesimama ndani ya daladala imejaa kinoma nikamuomba jamaa aliekaa kwenye siti anisaidie kunishikia begi alinipiga jicho kali kinoma. Mambo hayo hauwezi kuyakuta mikoani ukiomba msaada wa vitu vidogo tu ivyo unasaidiwa kwa furaha kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakubaliii nakubaliii.
 
Story unazosikia wanajitamba nazo watu wa Dar sio kweli, story unazozisikia kutoka kwa motivational speakers wa Dar sio za kweli na usije ukajidanganya siku ukaenda Dar baada kuahidiwa msaada wa kupata kazi au makazi na mtu wa Dar nakuambia utatelekezwa stendi na mabegi yako.

Wakazi wa Dar asilimia kubwa wanaishi maisha magumu. Wenye ajira rasmi wameandamwa na madeni mshahara ukitoka hauchukui round ushaisha, vijana wa kiume wamejiingiza kwenye kubet huku vijana wa kike wamejiingiza kwenye umalaya yaani kujiuza siku hizi wanasema kudanga.

Wanaona noma kurudi mikoani wamebaki Dar vijana wa kiume wanashindia mihogo na mo energy siku nzima huku watoto wa kike wakitegemea kutombwa ndio wapate hela ya kula na kuvaa. Kujipa relief ya moyo wanaamua kujisifia kwa vitu ambavyo sio vyao.

Utasikia Dar kuna magorofa mengi, muulize kati ya hayo magorofa wewe unamiliki mangapi?, utasikia Dar makazi ya matajiri wengi muulize kati ya hao matajiri wengi na wewe ni mmoja wapo?, atakwambia Dar magari mengi, muulize kati ya hayo magari mengi wewe unayo mangapi?

Story unazosikia sijui winga kariakoo anapiga mpaka laki kwa siku, bodaboda analaza 40k kwa siku, muuza chipsi anapiga faida ya 80k kwa siku n.k izo story zote sio za kweli hao bodaboda, wauza chipsi, mawinga, wamachinga n.k wote ni washkaji zetu hali zao tunazijua wangekua wanapiga izo figure zinazotajwa maendeleo yao si tungekua tunayaona.

Dada angu, kaka yangu, mdogo angu pambana na hali yako hapo hapo kwenye mjini ulioyazoea ukiamua kwenda Dar akikisha una mpango madhubuti sio kukulupuka kwa kuamasishwa na story ulizosikia kutoka kwa watu wa Dar, hao jamaa ni waongo tu ukiwasikiliza unaweza ukafikiri umechelewa sana kimaisha kumbe kiuhalisia they are living worst life than yours.

Dar is tough if you don't have connection for a job and accomodation then don't move at that side.
Maisha kamari bro,kuna waliokuja wakatelekezwa Wakapambana wakatoboa,kama upo kigulunyembe na maisha hayaendi pambana uende wewe,watu wanazamia mbele huko hata lugha hawaijui itakua hapa dar?High risk high return cha muhimu usitake kuishi maisha ya insta,wala usichague kazi na usisahau njia ya nyumbani,usiibe na usile mali za watu(utaliwa),usisikilize ushauri wa walio feli utafeli uwezo wako sio uwezo wao maana maji ya moto yanalainisha nyanya lakini hayo hayo maji ya moto yanafanya yai linakua gumu.hakuna sehemu maisha ni rahisi
 
Back
Top Bottom