Usidanganyke, viwalo vinalipa

Usidanganyke, viwalo vinalipa

misnomer

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Posts
203
Reaction score
69
German ambassador to Tanzania Hon. Klause – Peter Brandes in a deep conversation with the Speaker of The National Assembly of Tanzania Hon. Anne Makinda (MP) during his courtesy call to Hon. Makinda’s Office.

IMG_7068.JPG
 
luks = looks

waaasalaam waalaikhum FEIZA... ahsante bwana si unajua wengine tulianzia kuchat kwenye text za simu ndio maana kidogo mambo yetu bado yamekaa ki nokia za tochi kidogo ila yatabadilika tu dada angu..!
 
hee,, si gwanda la wazee wa kazi hlo..., kaona halima mdee anapendeza sana akivaa hayo mambo
 
kawigi kakasahau wapi cjui leo! k\apendeza lkn!
 
FEIZA= FAIZA
Hehehe,namsaidia kusahihisha b4 hajakuja mwenyewe
waaasalaam waalaikhum FEIZA... ahsante bwana si unajua wengine tulianzia kuchat kwenye text za simu ndio maana kidogo mambo yetu bado yamekaa ki nokia za tochi kidogo ila yatabadilika tu dada angu..!
 
Tunawapongeza, wasaidizi wake binasfsi.Kwenye eneo la nguo wamemfaa sana
 
anastahili pongezi hilo halina ubishi.faiza foxy habari yako? Nimeona kazi yako.
 
duuuu. mama karudi ujana. natamani angesimama halafu atembee tumuone kwa nyuma pia
 
Back
Top Bottom