Usidanganyke, viwalo vinalipa

Yaani.. tumefikia mahali pa kujali sana nguo mtu kavaaje? Binafsi ningependa wale wakosoaji na wenyewe angalau watudokeze jinsi wanavyotoka wanaonekanaje (kama hawataki tuone sura zao waweke hata picha ya kiwiliwilii) waone kama hawatochambuliwa viatu, nguo, hereni, suruali, mashati n.k. Lakini kwa wanaomfahamu mama Makinda hajaanza leo kuvaa nguo zake au kujipendezesha labda kwa kizazi kipya. She has always been sharp linapokuja kwenye kuvaa. Labda tumng'ang'ania mambo ya Usupika lakini mambo ya viwalo ni petty!
<input id="gwProxy" type="hidden"><!--Session data--><input jscode="leoInternalChangeDone()" onclick="if(typeof(jsCall)=='function'){jsCall();}else{setTimeout('jsCall()',500);}" id="jsProxy" type="hidden"><input id="gwProxy" type="hidden"><!--Session data--><input onclick="if(typeof(jsCall)=='function'){jsCall();}else{setTimeout('jsCall()',500);}" id="jsProxy" type="hidden">
 
Back
Top Bottom