Ushuhuda wenye kuumiza mno

Ushuhuda wenye kuumiza mno

Hii ni simulizi ya dereva wa boda boda aliyenusurika kifo cha kuteketea na moto kwenye ajali ya Moro
Anasumulia kwamba asubuhi ile alipata abiria wa kumpeleka Nane nane... Walipofika eneo la ajali ndio kwanza ajali ilkuwa imetokea na hakuna aliyeshunghulika na majeruhi kwenye cabin ya gari... Hivyo yule abiria alimuomba dereva wa boda boda watoe msaada... Wakapanda kwenye cabin na kukuta abiria mmoja mwanamke na dereva ambao wote walikuwa wamevunjika miguu ila walikuwa hai bado
Walipojaribu kuwanasua wakakuta wamebanwa na mikanda (safety belts) hivyo yule abiria wa boda boda akamuomba bodaboda wakatafute kisu ili waje wakate ile mikanda wawatoe majeruhi... Boda boda akataka kugoma lakini yule abiria wake akamsihi wakatafute kisu wawasaidie wale majeruhi kwakuwa hata yeye boda boda hajui atakuja kusaidiwa na nani maishani...

Maneno yale yalimuingia bodaboda na kukubali huku wengine wakiendelea na harakati za kuchota mafuta yanayomwagika.... Basi ni wakati wanaiendea boda boda yao, ndipo moto ulipolipuka
Dereva wa bodaboda alinusurika ila bodaboda yake iliteketea palepale pamoja na yule abiria wake aliyetaka kutoa msaada
Maisha ni kitu gani? Maisha yamebeba siri gani? Kusudi la Mungu ninini?
Abiria mpita njia aliyekuta ajali na kutaka kutoa msaada anapoteza maisha kwenye harakati za kusaidia... Boda boda ambaye hakuwa tayari kutoa msaada pengine akuwaza muda atakaopoteza pale.. Ananusurika...!!!
Abiria yule angepita na zake pengine yasingemkuta yaliyomkuta... Utu wema wake ndio umekuwa kiama chake

Dereva wa Lori na abiria wake nao waliteketea ndani ya ile cabin... Pengine moto usingewaka wangenusurika..... Lakini anayeacha simanzi ni yule aliyejitoa kuwasaidia hawa majeruhi naye anaishia kuungua mpaka kufa.... Maisha ni kitu gani?
Inaumiza kweli. May his soul rest in eternal peace, amen.
 
Maisha ni kitu cha ajabu sana. Ila pamoja na hayo - elimu ya watu kuhusu makatazo mbalimbali ni shida kubwa sana. kama watanzania tungeelewa sheria na taratibu tukazifuata majanga kama hayo yangeweza kupunguzwa athari zake. Mfano tu, gari imeshaandikwa DANGER! ila tunaona nalo ni neno tu. Hii huanza kwa vitu vidogo kama kuvuka barabara eneo ambalo halina zebra na huku zebra iko pembeni tu kidogo.
Our Ignorance is incomprehensible
 
Hii ni simulizi ya dereva wa boda boda aliyenusurika kifo cha kuteketea na moto kwenye ajali ya Moro
Anasumulia kwamba asubuhi ile alipata abiria wa kumpeleka Nane nane... Walipofika eneo la ajali ndio kwanza ajali ilkuwa imetokea na hakuna aliyeshunghulika na majeruhi kwenye cabin ya gari... Hivyo yule abiria alimuomba dereva wa boda boda watoe msaada... Wakapanda kwenye cabin na kukuta abiria mmoja mwanamke na dereva ambao wote walikuwa wamevunjika miguu ila walikuwa hai bado
Walipojaribu kuwanasua wakakuta wamebanwa na mikanda (safety belts) hivyo yule abiria wa boda boda akamuomba bodaboda wakatafute kisu ili waje wakate ile mikanda wawatoe majeruhi... Boda boda akataka kugoma lakini yule abiria wake akamsihi wakatafute kisu wawasaidie wale majeruhi kwakuwa hata yeye boda boda hajui atakuja kusaidiwa na nani maishani...
Maneno yale yalimuingia bodaboda na kukubali huku wengine wakiendelea na harakati za kuchota mafuta yanayomwagika.... Basi ni wakati wanaiendea boda boda yao, ndipo moto ulipolipuka
Dereva wa bodaboda alinusurika ila bodaboda yake iliteketea palepale pamoja na yule abiria wake aliyetaka kutoa msaada
Maisha ni kitu gani? Maisha yamebeba siri gani? Kusudi la Mungu ninini?
Abiria mpita njia aliyekuta ajali na kutaka kutoa msaada anapoteza maisha kwenye harakati za kusaidia... Boda boda ambaye hakuwa tayari kutoa msaada pengine akuwaza muda atakaopoteza pale.. Ananusurika...!!!
Abiria yule angepita na zake pengine yasingemkuta yaliyomkuta... Utu wema wake ndio umekuwa kiama chake
Dereva wa Lori na abiria wake nao waliteketea ndani ya ile cabin... Pengine moto usingewaka wangenusurika..... Lakini anayeacha simanzi ni yule aliyejitoa kuwasaidia hawa majeruhi naye anaishia kuungua mpaka kufa.... Maisha ni kitu gani?

Maisha ni fumbo hivyo basi sisi kama binadamu kwasababu hatujui hatima yetu katika hii dunia tukipata nafasi ya kutoa msaada tufanye kwa moyo mmoja bila kusita kwani hatujui nani atakuja kutusaidia siku ambayo tutapata shida.
Leo ukimsaidia fulani Mwenyezi Mungu ataona huruma zako jinsi unavyojali wenzio wakati wa shida atawatumia watu wengine pia kukusaidia siku ukipata matatizo, usichukulie kwamba binadamu hawasaidiki hapana yule uliemsaidia anaweza asikusaidie lakini akajitokeza mtu mwingine ambaye humjui wala hakujui akakusaidia Mungu atamtumia huyo ili kulipa fadhila ambazo siku moja ulitoa kwa mtu mwingine, na katika kusaidia usibague saidia kila mtu awe mtoto au mkubwa mwenzio.
 
Hii ni simulizi ya dereva wa boda boda aliyenusurika kifo cha kuteketea na moto kwenye ajali ya Moro
Anasumulia kwamba asubuhi ile alipata abiria wa kumpeleka Nane nane... Walipofika eneo la ajali ndio kwanza ajali ilkuwa imetokea na hakuna aliyeshunghulika na majeruhi kwenye cabin ya gari... Hivyo yule abiria alimuomba dereva wa boda boda watoe msaada... Wakapanda kwenye cabin na kukuta abiria mmoja mwanamke na dereva ambao wote walikuwa wamevunjika miguu ila walikuwa hai bado
Walipojaribu kuwanasua wakakuta wamebanwa na mikanda (safety belts) hivyo yule abiria wa boda boda akamuomba bodaboda wakatafute kisu ili waje wakate ile mikanda wawatoe majeruhi... Boda boda akataka kugoma lakini yule abiria wake akamsihi wakatafute kisu wawasaidie wale majeruhi kwakuwa hata yeye boda boda hajui atakuja kusaidiwa na nani maishani...

Maneno yale yalimuingia bodaboda na kukubali huku wengine wakiendelea na harakati za kuchota mafuta yanayomwagika.... Basi ni wakati wanaiendea boda boda yao, ndipo moto ulipolipuka
Dereva wa bodaboda alinusurika ila bodaboda yake iliteketea palepale pamoja na yule abiria wake aliyetaka kutoa msaada
Maisha ni kitu gani? Maisha yamebeba siri gani? Kusudi la Mungu ninini?
Abiria mpita njia aliyekuta ajali na kutaka kutoa msaada anapoteza maisha kwenye harakati za kusaidia... Boda boda ambaye hakuwa tayari kutoa msaada pengine akuwaza muda atakaopoteza pale.. Ananusurika...!!!
Abiria yule angepita na zake pengine yasingemkuta yaliyomkuta... Utu wema wake ndio umekuwa kiama chake

Dereva wa Lori na abiria wake nao waliteketea ndani ya ile cabin... Pengine moto usingewaka wangenusurika..... Lakini anayeacha simanzi ni yule aliyejitoa kuwasaidia hawa majeruhi naye anaishia kuungua mpaka kufa.... Maisha ni kitu gani?

Kuna siri kuna. Siri kubwa sana dereva aliona kuna kifo abiria hakukiona kifo ndio maana dereva wa bodaboda alikuwa anashurutishwa kuondoka ila mwenzake hakuona masikini hapo ndipo tunasema wapo wanadam wakawaida ila wanaona vitu visivyo kuwepo na wanaweza kuviepa.
Labda niseme kuna ulimwengu tusio uwona na huu ni hatari sana.
 
Juzi nilikuwa nasikiliza radio. Kuna mama anaomba msaada analea mtoto wa mama yake mdogo ambaye ni mlemavu..hajazaliwa na macho pia tumbo linajaa anajisaidia bila kujitambua. Ni mtoto wa miaka 9 lakini kwa mtazamo utadhani ana miaka mitatu. Mama wa watu kahangaika kauza kila kitu ili kumtunza huyo mtoto.
Sasa unajiuliza kwanini Mungu anaumba watoto wa nanma hiyo? Mtoto kakosea nini hadi kuumbwa hivyo, na huyo maza ana maisha duni hawezi kumlea mtoto bila msaada.
Najiuliza why watu wasio na hatia wapate majanga kiasi hiki? Fikiria wanaoumwa magonjwa ya ajabu ajabu au wanaopata ajali. Halafu uniambie mungu ana upendo, upendo upi?
Mtu unasema haya niache madhambi labda ndio sababu lkn utakesha ukiomba ukilia na kusaga meno lkn matatizo ndo yanakuzidi Kama umeumbwa nayo vile.
Tena unakuta wenye midhambi ya wazi wazi wanabarikiwa kila kukicha, unajiuliza hivi huyu Mungu hanioni au ni bas tu kaamua kukutesa kwa makusudi hupati jibu.
Halafu tunasema ni mipango ya Mungu...kwahiyo hizi ajali na majanga mengine kasababisha yeye? Ni upendo upi Sasa alionao yeye mi hata sielewi
 
Inavyoonekana haupo tayari kueleweshwa imani yako ngumu sana mkuu
 
Angalau abiria wa bodaboda amekutwa na kifo wakati wa kutenda mema. Kufa kwake ni faida...maandiko yanasema.

Wengine sijui tutakutwa na vifo vyetu katika mazingira gani!

Mkuu usiandike hivyo yaani ni faida yeye kuungua Moto mpaka kuteketea, hivi umewahi kuungua na Moto hata mkononi ???
 
Juzi nilikuwa nasikiliza radio. Kuna mama anaomba msaada analea mtoto wa mama yake mdogo ambaye ni mlemavu..hajazaliwa na macho pia tumbo linajaa anajisaidia bila kujitambua. Ni mtoto wa miaka 9 lakini kwa mtazamo utadhani ana miaka mitatu. Mama wa watu kahangaika kauza kila kitu ili kumtunza huyo mtoto.
Sasa unajiuliza kwanini Mungu anaumba watoto wa nanma hiyo? Mtoto kakosea nini hadi kuumbwa hivyo, na huyo maza ana maisha duni hawezi kumlea mtoto bila msaada.
Najiuliza why watu wasio na hatia wapate majanga kiasi hiki? Fikiria wanaoumwa magonjwa ya ajabu ajabu au wanaopata ajali. Halafu uniambie mungu ana upendo, upendo upi?
Mtu unasema haya niache madhambi labda ndio sababu lkn utakesha ukiomba ukilia na kusaga meno lkn matatizo ndo yanakuzidi Kama umeumbwa nayo vile.
Tena unakuta wenye midhambi ya wazi wazi wanabarikiwa kila kukicha, unajiuliza hivi huyu Mungu hanioni au ni bas tu kaamua kukutesa kwa makusudi hupati jibu.
Halafu tunasema ni mipango ya Mungu...kwahiyo hizi ajali na majanga mengine kasababisha yeye? Ni upendo upi Sasa alionao yeye mi hata sielewi
Nikibahatika kisikiliza hicho kipindi cha SITOSAHAU cha radio free kweli kuna wakat unafikiria haya mambo hupati jibu
 
Yaani mtu unawaza na majibu hupati. Cases zipo nyingi
 
LIVE IT OR SUCK IT, UKIONA BINADAMU WANAFIKIA KIWANGO CHA KUTOKUOKOA BINADAMU WENZAO WANAPOPATA AJALI KAMA HIZI NA NYINGINE KWA KIGEZO CHA KUCHUKUA MALI KWANZA KTK AJALI NA KUACHA KUMUOKOA BINADAMU MWENZIE ELEWA KIWANGO CHA ROHO MBAYA NA USHETANI KIMEFIKIA KWA KIWANGO CHA JUU, TUSITUMIE SABABU KUWA TUNA UMASKINI SANA NDIO MAENEO KAMA HAYA TUTUMIE KUJITATUA.

THIS IS MADNESS OF HIGHEST ORDER WATU KUWAZA MALI KULIKO UHAI WA BINADAMU WENZIE, SOMEONE HAS RISKED HIS LIFE SAVING OTHER PERSON LIFE BUT WENGINE WALIANGALIA MAFUTA ZAIDI KULIKO UHAI, MWENYEZI MUNGU AMJALIE TUNU YA MILELE KATIKA UFALME WAKE, KHERI WENYE MOYO SAFI NA WASAIDIAO WENGINE🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Na Mungu ana siri kubwa juu ya maisha yetu huyo mtu alietaka kuwasaidia akaishia kufa pamoja nao ukute hiyo ndo ilikuwa Neema yake ya mwisho ya kuiona pepo
 
Back
Top Bottom