Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 371,540
- 860,595
- Thread starter
- #81
Hapana kabisa.... Kuelewa matendo ya kiMungu kunahitaji uono na tafakuri ya kiroho kwakuwa imeandikwa matendo ya Mungu si ya mwanadamu.. Kwahiyo huwa tunakosea sana tunapomhukumu Mungu kupitia matokeo ya matendo ya mwanadamuAnatesa watu wake