Mungu mwenye uwezo wote kashindwaje kubadilisha io fate wanae wapendwa wasiteketee na moto?
Wewe kwanini unataka auzie wakati viumbe wake wanarejea kwake ?
Mola muumba ana vitu vitatu kwa waja wake kwa kuzingatia ufanyaji wa matendo,navyo ni :
1. Mashi'a (Wills) 2. Iraadah (Wants) 3. Mahabah (Love)
Ukivielewa vitatu hivi hutapata shida kamwe juu ya haya yanayotokea ulimwenguni.