Ushuhuda wa ukweli kuhusu meditation

gollocko, faida na manufaa ya meditation mbona inaonekana wazi kwamba umeshaanza kuzipata!

Jinsi unavyojibu wachangiaji kwenye huu uzi ni wazi kwamba kuna una jambo la ziada kwenye ubongo wako.
Usikate tamaa.

Akhsante Ngorunde kwa kunipa matumaini.
 
Last edited by a moderator:
Lotus posture si mchezo...

Ni kweli kabisa.
Kukaa Lotus pose inasaidia sana damu kuzunguka sehemu ya juu ya mwili mpaka kwenye ubongo, inaweka uti wa mgongo katika mpangilio maalumu wa Chakra, na pia inakupa shape ya pembe tatu, ambayo ni shape nzuri kuchukua cosmic energy. Pia ni mkao ambao mtu akiuzoea anaweza kukaa muda mrefu bila kuhama. Wapo ambao wanakaa kwenye meditation kwa siku nzima mpaka zaidi ya siku bila kuhama wala kubadilisha mkao.

Ni mkao mgumu kuuzoea lakini unazoeleka taratibu kutokana na kukaa kwenye meditation kwa muda mrefu.
Pia mtu anaweza kuanza na mkao wa kawaida tu na taratibu Lotus pose itakuja.
 
Matokeo yatokanayo na kufanya meditation yanatokea hata siku moja ya kufanya meditation inaweza kukubadili. Kinachofaa ni kufanya kiusahihi na kwa jitihada sahihi.
 

Mkuu, inamaana unaweza ukaanza na crossed leg, halafu lotus posture ika jitengeneza yenyewe...?!
 
The prezident hii meditation yako ni nzuri inaleta relief kwenye mwili ila mara unapoimaliza kiganja cha kulia huwa kina joto kuliko cha mkono wa kushoto na vilevile naona kama inaondoa appetite.

Nimeifanya sana hiyo wakati niko Toronto. Hii ni chakula cha roho kwa kila mtu wa mji huu ni very popular ... hii unaweza fanya kila siku na ... kuna hospitali canada .. wagonjwa huifanya kusaidia matibabu kuwa more effective

fanya usiache ...
 
Kufanya Meditation Bila Muongozaji Sawa Na Kumjazia Mtoto Au Mtu Anaeanza Kujifunza Kusoma Vitabu Vya Kusoma Bila Kumwambia Aanze Na Kipi Na Aanze Vipi Sana Sana Ataviangalia Tu.... Get A Teacher To Guide You And After One Month You Can Lead Yourself...

Rakims
 

Rakims ulipotea kaka, karibu tena. Katika hii kitu kidogo naanza kupatapata mwanga.
 
To repeat — too manypeople flap down on their knees and start ordering their God to ‘deliver thegoods’, then they say that prayer never works. Well, let them try meditationfirst. Meditation actually has four different parts :

l. The first part is that meditational practice which assistsin the development of the true personality of the meditator, and if one canmeditate and develop one's personality then one obtains a happier and moresuccessful life. One becomes happier in the personal aspects of life and one becomesmore successful in association with one's fellows, that is, in work. Successfulmeditation here also increases the mental capacity.
2. The second stage of meditation is that which almost automaticallyfollows from successful completion of the first stage. The second stage ofmeditation is that which brings the physical body in rapport with the Overselfand brings the Overself in rapport with the Manu of the nation. Before one canmeditate to this, and higher standards, it is essential that one has a pure andlust-free life.
3. The next stage of meditation is that which gives oneall the benefits of stage 1 and stage 2, but which enables one in addition tohave full occult understanding. That is, when one reaches the third stage ofmeditation one is able to comprehend and apperceive.
Apperceive, of course, is different from perceive.Apperceive is the mind's perception of itself (all that which enables theOverself to improve its own spiritual condition).
4. Lastly, there is the mystical meditation, so calledbecause it is so far removed from earthly concepts that it is rather beyond theunderstanding of those who have not succeeded in reaching that stage. Thefourth stage of meditation takes us by way of the Silver Cord up to ourOverself, and then by way of the Golden Cord of our Overself into the presenceof that Great Entity which, for want of a better term down here, we call ‘God’.But the first two stages of meditation are the essential steps and you shouldconcentrate on them first.

Sijui ulikuwa unamuuliza nani kuhusu meditation. Lakini hii ni nukuu kutoka Chapters of Life by Lobsang Rampa. Tazama pale katika second stage,anaongea kuhusu physical body,the italics,bold letters, nimeziandika mimi. Baada ya meditation,kabla ya atsral travel,zipo trance. Zote utaziona katika Chapters of Life.

 
For a time we sat there meditating upon the past, and my Guide said to me, "I see you are meditating, or attempting to meditate.Now there are two very good ways of meditating, Lobsang. You must be content, you must be tranquil. You cannot meditate with a disturbed mind, and you cannot meditate with a whole gathering of people.You have to be alone or with just one person whom you love." He regarded me, and then said, "You must always look at something black or at something which is white. If you look at the ground you may be distracted by a grain of pebble, or you may be doubly distracted by some insect. To meditate successfully you must always gaze at that which offers no attraction to the eye, either entire black or pure white. Your eyes then become sick of the whole affair and become, as it were, disassociated from the brain, so then the brain having nothing to distract it optically is free to obey what your sub-conscious requires, and thus if you have instructed your sub-conscious that you are going to meditate-meditate you will. You will find in that sort of meditation that your senses are heightened, your perceptions more acute, and that is the only meditation worthy of the name. In the years which will come to you, you will encounter many cults proffering meditation at a price,but that is not meditation as we understand it nor is it meditation as we wan tit. It is just something which cultists play with, and it has no virtue."

Nukuu nyingine ya meditation kutoka As It Was by Lobsang Rampa. Lobsang hapo umri wake ni miaka saba.
 
Mkuu, inamaana unaweza ukaanza na crossed leg, halafu lotus posture ika jitengeneza yenyewe...?!

Hapana, ni vyema kufanya half lotus kama vile crossed leg lakini ukiwa unajaribu kuweka lotus. Taratibu utazoea na itachukua muda lakini utaifikia lotus pose.
 
Hivi vitu bila teacher wa kukugadi ngumu sana.Mwalimu yeyote aliyeko Songea tafadhali!
 
Like causes produce effect. Kabla ya kuanza kujiingiza katika meditation first tambua lengo lako la kumeditate ni nini? Kuna society nyingi tu zinahusika na meditation mbalimbali. Nikusbauri society moja wapo ambayo naifahamu kwa ukaribu zaodi ipo hapa tanzania inaitwa PATH SOCIETY inapatikana chang'ombe maduka mawili. Nenda hapo ukajifunze na utaona faida yake
 
Mkuu umetoa ufafanuzi mzuri sana kabisa. Mimi binafsi mengi katika uliyoeleza hapo juu kama faida ya meditation nimeyapata lkn si kwa meditation bali kwa kutenga muda wangu kila siku asubuhi na jioni kwa ajili ya kutafakari utakufu wa Mwenyezi MUNGU. So unaweza ukatenga muda kwa ajili ya mola wako mlezi na utapata faida maradufu ya kufanya meditation pekee. Au meditate katika neno la Mwenyezi MUNGU, usimeditate katika vitu usivovijua.
 
100% true. Nina miezi kadhaa tangu nianze mtiririko huu exactly kama ulivosema. Cha ajabu ni kuwa nimebadilika sana kitabia na kimwenendo katika maisha ya kila siku. Hata mahali ambapo watu wamekata tamaa mm nimekuwa nikijikuta bado nina tumaini kubwa. Siri kuu ni kumtanguliza Mwenyezi MUNGU mbele, Kutafakari (meditate) maneno yake na kutenda sawasawa na maneno yake. Kutenda bado sijafanikiwa 100% but namshukuru Mwenyezi MUNGU kwa mengi amenionesha. Zamani nilikuwa nadhani nina mapungufu mawili tu lakini mara baada ya kutafakari maneno ya Mwenyezi MUNGU nikaanza kugundua madhaifu yangu ya day to day na kisha kuanza kukomaa kueliminate moja baada ya jengine. Sio kazi rahisi, lazima ujitoe. Hiyo ni meditation kwa mtizamo wa maneno ya Mwenyezi MUNGU. Hata shetani ana meditation, tuwe makini tusijefuata nyayo za shetani maana wapo wengi wanafanya mediation ktk mtindo ambao ni ibada kamili ya kishetani bila wao kujua kumbe wanawasiliana na roho wa kuzimu.
 
Kuonesha kuwa ukweli unafunuliwa, hata kukua kwa teknolojia ni moja ya kufunuliwa; Tukumbuke miaka elfu iliyopita hivi mtu angejua kuwa kuna kitu kinaitwa Skype kitatokea au watu wangesafiri angani???. Nakubaliana na ww kuwa ukweli bado unaendelea kufunuliwa
 
Nimejifunza kitu kaka. Mimi ni muislamu lakini hilo neno la Zaburi 1: 1-3 nimelishika kwa magego yangu na sitaki linitoke kinywani mwangu. Ni neno ambalo ukilitafakari ni lazima utaenda mbele zaidi na kutaka kuijua sheria na kuitekeleza kwa vitendo kisha utashangaa maajabu ya jinsi utakavostawi na kushamiri ktk maisha yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…