USHUHUDA: Nilizaliwa na Virusi vya UKIMWI

USHUHUDA: Nilizaliwa na Virusi vya UKIMWI

Sijawahi kuzini na msichana yoyote yule ,nimewahi kutongozwa mara kadhaa ila niliamua kukataa si vyema kuusambaza ugonjwa huu naamini dawa ya ukimwi ipo siku itapatikana
Hongera sana Mungu akubariki kupita upeo wa mawazo yako. Endelea na tabia hiyo hiyo utapata thawabu kubwa sana.
 
Ukimwi inaelekea siku hizi hauui. Zamani mtu akipata maambukizi anaishi nao kwa miaka tano tayari imemmaliza.... Lakini siku hizi watu wako vizuri tu na afya tele. Kuna jirani yangu tangu mi niko shule mwanzoni mwa miaka ya 2000 yeye alikuwa anahudhuriaga semina kwenye NGO yao fulani. Wakati huo yuko flat ila sahivi amejaa anakitambi anapiga kazi vizuri amejiendeleza sana.
 
Ukimwi inaelekea siku hizi hauui. Zamani mtu akipata maambukizi anaishi nao kwa miaka tano tayari imemmaliza.... Lakini siku hizi watu wako vizuri tu na afya tele. Kuna jirani yangu tangu mi niko shule yeye alikuwa anahudhuriaga semina kwenye NGO yao fulani. Wakati huo yuko flat ila sahivi amejaa anakitambi anapiga kazi vizuri amejiendeleza sana.
Cha msingi ni kujikubali tu,kula mlo kamili maisha yanasonga
 
Namini Mungu ni Mkubwa. Kwakweli ma Dr. nao wanapotoka. Kwa hakika wewe ungeendelea bila ARV na ungekuwa so smart kuliko hayo ma ARV's

Kwa nini unasema hivyo mkuu.

Si naskia vijidudu vinaongezeka na ikifika muda vinakuwa vingi hata kuushambulia mwili na kukosa kabisa ulinzi ndani ya mwili...?

Hebu nipe darasa hapo kiongozi ipi bora kukaa bila ya kunywa hizo dawa au kukaa ukiwa unakunywa hizo dawa mkuu. Na pia, labda ni kipindi gani mtu anatakiwa kunywa hizo dawa coz mtoa mada ameishi kwa zaidi ya miaka 20 bila ya kunywa hizo dawa, it means hawezi kuacha right...?

Nipe darasa coz tunaishi na ndugu na jamaa huku mtaani hivyo tunaweza kuokoa maisha yao wakaendelea kuishi kwa njia moja au nyingine mkuu.

Thanks a lot kiongozi.
 
Back
Top Bottom