USHUHUDA: Nilizaliwa na Virusi vya UKIMWI

USHUHUDA: Nilizaliwa na Virusi vya UKIMWI

Huyo mtu niliyekutana naye utaratibu wa tiba yake upo hivi,unatakiwa ukapime virus load hospitali km vile muhimbili,Lugalo,regency n.k baada ya hapo unaanza tiba after 2 months unaenda kupima tena ili ujue wadudu kiasi gani wamekufa then unamalizia tiba. Baada ya hapo ukimaliza tiba wadudu wamekufa wrote na unakuwa negative.
positive is normal hii hapa
 
Huenda ni kweli, ila suala la kufanya uasherati/ngono/tendo la ndoa/ kunjunja whetever hapo kidogo nina doubt, unaweza kupiga tuu, ila vaa kondom au sio?
 
mkuu,unaweza kunithibitishia mtu aliyepona ukimwi kwa hizo dawa unazosema, ina dunia nzima wamefungwa akili ila wewe ndio umefunguliwa?
 
Pole san kamanda mimi leo kijasho kimenitoka wakati napima jaman ngoja nianze kujilinda
IMG_20190303_204739.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wakuu,

Natumaini mko poa na Christmas na hata kama uchumi hauko sawa yapaswa kushukuru MUNGU maana kikubwa ni uzima na afya tu.

Dhumuni la uzi huu ni kuwapa moyo wale wote wanaoishi na Virusi vya UKIMWI wajione kama watu wa kawaida na kuwa na virusi vya UKIMWI sio mwisho wa maisha.

Mimi ni kijana jinsia ya kiume, nilizaliwa na Virusi vya UKIMWI miaka 24 iliyopita na mpaka leo niko mzima wa afya na ukiniangalia kwa macho hutofikiria kama naishi na Virusi.

Waathirika wote msikate tamaa na wala msihuzunike, kila kitu kinatokea kwa sababu fulani.

Natanguliza shukrani kwenu na muwe na Christmas njema.

Mwenye maswali au maoni nitamjibu hapa hapa
Brother mwenyezi mungu azidi kukupa afya njema wewe ni jasiri na shujaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom