MR LINKO
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,034
- 3,579
basi itakuwa oneDuuh nimezaliwa nao mkuu miaka 23 iliyopita mpaka Sasa niko vizuri tu
basi itakuwa oneDuuh nimezaliwa nao mkuu miaka 23 iliyopita mpaka Sasa niko vizuri tu
Kwann huna girlfriend?Sijaoa na wala sina girlfriend
Si mpaka ampate atakayekubariKwann huna girlfriend?
unamaanisha nini mkuu?sijakuelewabasi itakuwa one
unamaanisha nini mkuu?sijakuelewabasi itakuwa one
Inapendeza sana umri huu kuwa kijana unayejitambua kwa kiwango hiki,Mungu atakutendea makubwa sana ktk maisha yako,pia pole sana kwa msiba wa mama.Kondomu zipo lakini ni maamuzi ya mtu kufanya uzinzi,nishatongozwa na wasichana mara kadhaa ila wote niliamua kuwakatalia,dini zote pia zinakataa uzinzi,so nimejikubali na hali yangu tu na maisha yanasonga
ameeeenInapendeza sana umri huu kuwa kijana unayejitambua kwa kiwango hiki,Mungu atakutendea makubwa sana ktk maisha yako,pia pole sana kwa msiba wa mama.
Tatizo binadam tumeweka sana dhambi mbele yetu,yaani tunaona kama vile ni kitu cha kawaida kufanya na kutofanya tunaona kama ni ushamba.
Ila dhambi especially dhambi ya uzinzi inafukuza baraka zote kutoka ktk maisha ya binadam,mdogo'angu ishi ukimuheshim Mungu kwani yeye ndiye anayepanga maisha yetu kama ni mke atakupa tu mwenye hali kama yako na maisha yako yatakuwa mazuri tu.
Mungu akuangaze ktk maisha yako.......
usijali mkuu,tupo pamojaHongera sana mkuu kujikubali ,wengi wenye hali kama hii wanapata msongo wa mawazo mwisho wa siku za kuishi duniani zinakuwa fupi.
Naomba tuwasiliane kwa ushauri kwa namba 0769330521
Sio lazima, ila positive kwa positive ndio itapendeza zaidiHongera kwa kujikubali.
Kuwa HiV positivu ni sawa na anaeishi na ulemavu unaohitaji kuwakinga na wengine.
Kuna uwezekano pia wa kujipatia familia na watoto sawa na wasio na ulemavu huo pia kuwa na wasio walemavu.
Eti wakuu,partner wa mkuu kama huyu si lazima nae awe positive ili kuepuka kusambaza?
nitakutafuta mkuu,usijaliHongera sana mkuu kujikubali ,wengi wenye hali kama hii wanapata msongo wa mawazo mwisho wa siku za kuishi duniani zinakuwa fupi.
Naomba tuwasiliane kwa ushauri kwa namba 0769330521
Ahsante mkuu,ubarikiweThis is school. Hongera na pole ndugu.
Mfano mzuri ni mimi, nimekaa bila kuzini mpaka 1 yr after form 6Ha ha ha mkuu unajua wabishi walikuwepo tangu enzi ya yesu na enzi za mtume Muhammad S.A.W
Siwezi kukulazimisha uamini mkuu endelea kuamini unavyoamini,kuhusu chaputa nilishasema mimi ni retired member wa hicho chama
Bora mkuu umenisadia kujibu, hongera sana piaMfano mzuri ni mimi, nimekaa bila kuzini mpaka 1 yr after form 6
Mkuu naomba contact zakoHabari wakuu,
Natumaini mko poa na Christmas na hata kama uchumi hauko sawa yapaswa kushukuru MUNGU maana kikubwa ni uzima na afya tu.
Dhumuni la uzi huu ni kuwapa moyo wale wote wanaoishi na Virusi vya UKIMWI wajione kama watu wa kawaida na kuwa na virusi vya UKIMWI sio mwisho wa maisha.
Mimi ni kijana jinsia ya kiume, nilizaliwa na Virusi vya UKIMWI miaka 24 iliyopita na mpaka leo niko mzima wa afya na ukiniangalia kwa macho hutofikiria kama naishi na Virusi.
Waathirika wote msikate tamaa na wala msihuzunike, kila kitu kinatokea kwa sababu fulani.
Natanguliza shukrani kwenu na muwe na Christmas njema.
Mwenye maswali au maoni nitamjibu hapa hapa
amen mkuu, ubarikiwe sanaUkimwi siku hizi ni kama mafua, nakumbuka waliozaliwa nao halafu wakaja kujitambua kwenye miaka 20 au Zaidi hawanaga tatizo na huweza ishi hata miaka 70. Kwa habari nilizozishuhudia kinachowamaliza watu ni hofu ma mfadhaiko kwamba lazima watakufa siku sio nyingi hii ndio inayowatafuna mdogo mdogo.
We jiulize mpaka umri huo hujawahi umia dawa ni nini kitakuyumbisha baada ya kujifahamu? Jibu ni hofu na mentallity mbaya waliojiwekea watu kuhusu huu ugonjwa.
By the way bro enjoy life nakushauri tuu usiwaambukize watu pia ikimbie sana dhambi yeyote ile.
Finallly mtukuze MUNGU baba yeye ndie faraja yetu.
Tayari mkuu، nimekutumia namba zangu PmMkuu naomba contact zako
naomba mrejesho wa uyo jamaa uliyemtafuta kuhusu iyo dawaTayari mkuu، nimekutumia namba zangu Pm