kitokololoo
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 704
- 821
Dah wew jamaa una roho ya ajabu sana uishi miaka mingi kaka.Ahsante sana mkuu kwa kuwajibu,mimi sitomjibu vibaya mtu yoyote yule hata akinikejeli
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah wew jamaa una roho ya ajabu sana uishi miaka mingi kaka.Ahsante sana mkuu kwa kuwajibu,mimi sitomjibu vibaya mtu yoyote yule hata akinikejeli
Amen mkuuBrother mwenyezi mungu azidi kukupa afya njema wewe ni jasiri na shujaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilijulishwa hali yangu nikiwa na miaka 13Ulitambua kuwa wewe ni muathirika, ukiwa na miaka mingapi? Nani alikujulisha kuwa wewe ni muathirika?
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana mkuu
Mkuu kama kuna uwezekano tafuta mke uoe
Ha ha ha ha sio kwa sasa kiongoziMkuu kama kuna uwezekano tafuta mke uoe
Mkuu umri ndio huu huu
Sawa mkuu, ongea na familia watakushauri vizuri
Wapi Mkuu tuanze kununua tuweke stock just in case? Naamini ikipatikana madukani watu wengi watainunua bila hata kupima afya na wengine wataji overdosedawa ya ukimwi imepatikana uko duniani
Wapi Mkuu tuanze kununua tuweke stock just in case? Naamini ikipatikana madukani watu wengi watainunua bila hata kupima afya na wengine wataji overdose
wala usioe best...unaweza kuwa fruastuated huko kwenye ndoa..!enjoy maisha..!
Wapi Mkuu tuanze kununua tuweke stock just in case? Naamini ikipatikana madukani watu wengi watainunua bila hata kupima afya na wengine wataji overdose
kwasababu gan..?Sawa mkuu, ongea na familia watakushauri vizuri
imeshapatikanaSijawahi kuzini na msichana yoyote yule ,nimewahi kutongozwa mara kadhaa ila niliamua kukataa si vyema kuusambaza ugonjwa huu naamini dawa ya ukimwi ipo siku itapatikana