USHUHUDA: Nilizaliwa na Virusi vya UKIMWI

Mungu azidi kukupa nguvu.Lakini "nyama ya kangaroo" unakula mara moja moja?Kuwa makini nayo,ukijisikia kuwa na hamu nayo hakikisha inapimwa TFDA kwani wanasema mtu aliyeathirika anaweza kupata virus vingine kwenye hiyo nyama(ikitokea nayo ikawa na virus) na kumletea madhara zaidi
Ahsante mkuu kwa ushauri,sijawahi kula nyama ya kangaroo, ubarikiwe kwa ushauri mkuu
 
tuna mengi ya kujifunza kwenye huu uzi. very few threads huwa nasoma comment by comment but this is one of them, simply because hata sisi ni waathirika wa kesho iwe kwa bahati mbaya au any other method... but most importantly inawezekana tuna ndg, jamaa au rafiki ambaye ni HIV +
 
Vizuri sana kijana basi jambo moja muhimu.kwa umri huo utakuwa na harakati nyingi za wasichana jitahidi tu kuwalinda najua kikawaida hawawezi hata kukuhisi. Keep strong cure inakuja soon.
 
Upo sahihi kabisa mkuu,ubarikiwe sana
 
Vizuri sana kijana basi jambo moja muhimu.kwa umri huo utakuwa na harakati nyingi za wasichana jitahidi tu kuwalinda najua kikawaida hawawezi hata kukuhisi. Keep strong cure inakuja soon.
Yeah naamini hivyo mkuu,ubarikiwe sana
 
Sema hapa kwa faida ya wote mkuu
Huyo mtu niliyekutana naye utaratibu wa tiba yake upo hivi,unatakiwa ukapime virus load hospitali km vile muhimbili,Lugalo,regency n.k baada ya hapo unaanza tiba after 2 months unaenda kupima tena ili ujue wadudu kiasi gani wamekufa then unamalizia tiba. Baada ya hapo ukimaliza tiba wadudu wamekufa wrote na unakuwa negative.
 
Naweza kuonana nae
 
Mkuu huna mapenzi? Na vipi hutarajii kuwa na mpenzi?
 
Pole sana na hongera sana kwa kujikubali
 
Back
Top Bottom