positive is normal
JF-Expert Member
- Dec 25, 2017
- 520
- 978
- Thread starter
- #481
Hii habari niliisikia jana BBC swahiliRipoti mpya za kitiba zinaonyesha mgonjwa wa pili duniani amefanikiwa kupona UKIMWI baada ya kupandikizwa uboho (bone marrow) kutoka kwa mtu ambaye hawezi kuambukizwa virusi vya UKIMWI (HIV resistant)
H.I.V. Is Reported Cured in a Second Patient, a Milestone in the Global AIDS Epidemic
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app