USHUHUDA: Hivi ndivyo mafuta yanavyoibiwa Bandarini Dar...

USHUHUDA: Hivi ndivyo mafuta yanavyoibiwa Bandarini Dar...

Status
Not open for further replies.
Narudia tena kinachohitajika katika hii nchi sio Magufuli imara bali ni mifumo imara, Magufuli atapita ila mifumo itadumu milele! Kama Magu ana nia ya kweli na hii nchi arudishe katiba ya Mzee warioba itamaliza haya yote.
uko sahihi kaka
hapa shida ni mfumo.........
 
angekuwa mtanzania anahusika kwenye wizi kma huo angekuwa tayari nguvuni mara 1,.....
ila waarabu nahisi na viongoz wetu wanawaogopa
sijui kwasababu ya 10% au lah
 
Sheria ya makosa ya mtandao, hata whistle blower kama wewe unapaswa kushughulikiwa, kumbe watu walishajipanga, ama kweli tutaisoma namba.
 
taarifa ni muhimu sana,japo haina support evidence lakini inatoa picha namna deals zinachezwa mle na hivyo kuwafanya wahusika kubuni mbinu za kupambana na hizo deals
Support evidence ipi? Wakat kila kitu kimemwagwa hapo
 
Duh.... sasa Anderson yupo wapi siku hizi?
 
hii nchi aisee ukiifuatilia unaweza ukadata

Jitu la kwanza linalotakiwa kupondwa mawe mpaka life nilijeikei; hili lijitu ndio limefanyiza haya mambo yote kutokea, ukishakuwa na baba jizi, tegemea hata watoto wako watakuwa majambazi na ndio hari ilivyo
 
Sheria ya makosa ya mtandao, hata whistle blower kama wewe unapaswa kushughulikiwa, kumbe watu walishajipanga, ama kweli tutaisoma namba.
KakaJambazi umenena.....wakati ule kina Tundu Lissu na Mnyika wakipinga ule "mswaada" ya makosa ya kimtandao,hasa namna ya kumlinda "whistle blower" watu humu wakiwemo kina Lizaboni na binamu yake Ritz waliwabeza sana hao wabunge,maana walidhani wanasema kwa maslahi yao binafsi kumbe ni maslahi ya nchi.
Sasa hii leo,kwa mujibu wa sheria hiyo bila shaka huyu mleta mada ana "makosa ya kimtandao",na akikamtwa basi wanamtia ndani kwa nguvu za pesa za OILCOM,LAKE OIL na WOLRD OIL(hii mali ya Bakongo mumoja hivi ana ushirika na Msogazillleee).Lkn watu wengi tu wana "data" za maana,ila woga ni hizi sheria ambazo mafisadi walizihamasisha kutungwa ili wajilinde.
 
...
ripoti hiyo ambayo nilitumwa na mtu yuko wizaran kwa our own risk sikuona mafanikio wala kufatiliwa kwa namna yoyote ili, nlihishia kupata matatzo chungu nzima ikiwa ni pamoja na kuikimbia nchi yangu tanzania....

Mkuu pole ila hii ni awamu ingine.Wewe hiyo ripoti imwage hapa Jamiiforums itafika tu kunakohusika
 
Kumbe kagame aliposema kupitia bandari Tanzania inaweza kuondokana na umasikini aliona kitu. Watu wakadhani kamdhihaki rais wetu kumbe alikwisha gundua madudu yote haya wa kwetu anaishi angani ya aridhini halikuwa hayajui. Ni hatariii sana
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom